Bukobawadau

EXTRA BONGO WAPAGAWISHA USIKU WA PASAKA NDANI YA LINAS NIGHT CLUB

Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choki akiimba mbele ya mashabiki wake
 Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo, Ally Choki, akiwaongoza wanamuziki wake kushambulia jukwaa wakati wa onyesho lao lililofanyika kwenye Ukumbi wa Linas Night Club siku ya Jana
 Kiongozi wa wanenguaji, Super Nyamwela (katikati) akiwaongoza wanenguaji. WANAMUZIKI wa Bendi ya Extra Bongo (Wazee wa Kizigo)usiku wa Jana.
 Kiongozi wa wacheza shoo wa Extra Bongo, Super Nyamwela akicheza wakati wa onyesho la Bendi hiyo usiku wa Jana Aprili 20,2014 ndani ya ukumbi wa Linas Night CLUB.
 Shabiki wa Muziki wa dansi akiguswa namna Kiongozi wa wacheza shoo wa Extra Bongo, Super Nyamwela anavyo wajibika jukwaani
 Seba Ngosha mpiga Dram mahiri wa Extra Bongo akiwa kajipnga
Baadhi ya safu ya wanenguaji wa kike mahiri wa Extra Bongo,wakiongozwa na Mamaa Winnie Masanja, mama watoto wa mwanamuziki Banza Stone.
 Mdau Man Charles
 Hivi ndivyo wana walivyo jiachia.
 Ndugu Jamco Jamal Kalumuna na Ndugu Gilbart George.
 Mdau Optatay Folo akiteta jambo na Ndg Fidels Kaiza.



Mdau Elizabeth Mbunda na wanae wakifuatilia shoo ya Extra Bongo.
 Bi Salome (Chui na London), Bi Rehema  katikati na Mdau Maua Ramadhani
 Kibengwe family nao walikuwepo  ukumbini hapo.
 Mashabiki wakiendelea kupata kutoa raha ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club
 Mr & Mrs Optaty Folo.
Ramadhani Masanja 'Banza Stone' akiteta na shabiki wake wakati anaimba.
Mwimbaji wa Extra Bongo, Ramadhani Masanja 'Banza Stone' Mwana wa Masanja - AKA Jenerale akiimba kibao cha nyimbo yake ya Falsafa ya Maisha ambacho kinakamata chati ya nyimbo za Extra Bongo 
Mmmoja wa mashabiki wa Ramadhan Masanja 'Banza Stone a.k.a Mwalimu wa walimu
 Mmoja wa mashabiki aliyeonyesha kudata zaidi na makamuziki ya Banza Stone
 Mashabiki wa Banza Stone wakishindwa kuzuia furaha yao, hivi ndivyo Extra Bungo walivyo funika  usiku wa Pasaka ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club
 Wakiendelea kufuatilia  Bendi ya Extra Bongo ikiongozwa na Ali Choki
 Ustaraabu mwingine  huko hivi......

Taswira ukumbini sehemu ya WADAU wanaokunwa na uimbaji wa wanamuziki wa Extra Bongo
 Mr & Mr Deo Lugaibula.
 
 Sehemu ya mashabiki wakati show ikiendelea
 Wapenzi na wadau wa Extra Bongo
 Bi Salama Salum akionyesha kufurahia kile kinacho endelea ukumbini
Sehemu ya mashabiki wa Extra Bongo ukumbini
 Mdau Abdallah
 Mr& mrs Mohammed Kikwemu
 Muimbanji wa Bendi ya Extra Bongo, Banza Stone akicheza sambamba na wacheza shoo wakati wa onyesho la Bendi hiyo
Mnenguaji Asha Sharapova uso kwa uso na Banza Stone
 Mashabiki wa bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo Next Level 'Wazee wa Kizigo'.
 Ndani ya Kisima cha burudani Linas Pub & Linas Night Club Bukoba
 Hakika wadau na mashabiki wa Extra Bongo walijipanga kweli kweli
Mbishi Mc Jerry akifanya yake.
 Mkazuzu ile mbayaaaa!!
 Mashabiki wakidada na wimbo wa 'Mtaji wa Masikini ni Nguvu Zake Mwenyewe'
Watu full kuserebuka muziki wa dansi nchini ya Extra Bongo
 Hivi ndivyo  mashabiki walio datishna na makamuziki ya bendi hiyo.
 Anaitwa Smart Bahitani
 Bukobawadau Blog tukiendelea kukufikishia kwa kina kile kilichojili usiku wa Pasaka.
 Extra Bongo 'Next Level', ndani ya kisima cha burudani Linas Night cLUb ikiwa imesababisha wapenzi wa bendi hiyo kushindwa kujizuia na kuwafanya wainuke kama unavyo jionea pichani
 Mr & Mrs Rugumamu 
 Hivi ndivyo alivyo wakilisha mdau wa wadau
 Mama Nice na Bi Betty Lweyendela
 Bi Mgeni Idrisa na Mwnadada Devotha Devid
Mama Maziku naye ndani .
 Timu nzima ya Extra BONGO wakiendelea kuwajiba.
 Mengineyo ni muonekano wa Mwanadada Icon ya Bukoba Queen Lizzy,Betty Nangai na Mama Nice
 Mbele ya Camera yetu kwa usiku huu kutoka ndani ya Linas Pub &Linas Night Club
 Kushoto ni Ndugu Mwinyi wa Bukoba Veterans
Mwisho shukrani kwako msomaji  kwa kuendelea kutembelea Bukobawadau Blog.

Punguzo  maalum la bei katika msimu huu wa sikukuu ya Pasaka, sasa unaweza kufurahia chaneli zaidi y 70 bila dish wala chengachenga, utapata king'amuzi kwa Tsh 79,000 badala ya 109,000.wahi package yako yenye kifurushi cha Tsh 40,000 bure.
 BUKOBA fika ITEMBWE GENERAL SUPPLIES wakala mkuu wa Startimes ,wanapatikana Kashozi Road, mkabala na ofisi ya MAYAWA au piga simu namba 0787 007 666/0754 760 633.
 Habari kubwa ni kwamba usipolipia unaweza kufurahia chanel 5 muhimu  za nyumbani bure kabisa!!
 STARTIMES ENJOY ULIMWENGU WA DIGITAL WA TANZANIA

.
.
Next Post Previous Post
Bukobawadau