TASWIRA KAMILI UWANJANI BAYERN 3-1 MAN UNITED (4-2 agg)
Timu ya Manchester United imetolewa nje katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa baada ya kushindwa kuonyesha cheche dhidi Bayern Munich.
Rooney na Dante wakiruka juu kwa pamoja, hii ni mwanzoni mwa mchezo.
Mwiba katika upande:Mchezaji waArjen Robben pichani (kulia) akizungusha mpira kwa nyuma na kuufuata mbele ya Darren Fletcher ,kinyumbani tunasema kujitangulia.!!
Mara kadhaa ameonekana Mchezaji wa Manchester United Danny Welbeck akijikwatua visigino yeye mwenyewe, maelekezo haya aijulikani kayapata kwa wapi?na lengo lake ni nini?
Sintofahamu wakati nahodha wa Manchester United anapata kadi ya Njanoa pale alipomchezea vibaya Mchezaji Mandzukic.
Hekaheka uwanjani.
Mipango kati Wayne Rooney pichani (kulia) na Patrice Evra kama wanavyo onekana wakijadiliana
Mabadiliko ya Tactical:Kocha wa Buyern Guardiola akitoa maelekezo ya kubadili mfumo kwa wachezaji wake
Yawezekana huu ukawa ndio mwisho wa Kocha David Moyes.
Ikiwa ni dakika ya 62, hii ni Moja ya nafasi muhimu kwa Wayne Rooney baada ya kupokea pasi nzuri kutoka kwa Danny Welbeck,Wahaya wanamsemo wao'atakushutulile ati teneka' maswali ni mengi juu ya Rooney kwani nafasi nyingi hakuweza kuzitendea haki.
Hekaheka uwanjani hakuna aliyejua kuwa Nyota inaweza kumuakia Patrice Evra
Shangwe za muda mchache kwa Mchezaji Patric Evra baada ya kutupia bao la kuongoza.
Harakati za David de Gea ni kuzuia bao la Mandzukic lililopelekea Ubao kusomeka 1-1
Anaonekana Mario Mandzukic baada ya kusawazisha bao kwa Bayern Munich ikiwa ni sekunde 22 tu baada ya Patrice Evra
Noma ni kwamba bao la manchester Unated limedumu kwa sekunde 22 tu!!Sasa ni 1-1
Thomas Muller anaipatia Bayern bao la pili la kuongoza BAYERN 2-1 Man United (Muller 68).
Bao la 2 la Buyern kupitia kwa Thomas Muller pale alipokitumia vyema kichwa chake na kuwaacha wachezaji wa Man U katika hali hii pichani
Licha ya kuwepo deflected, wakati mchezaji Arjen Robben anachukua maamuzu sahii,kwa shuti kali lenye kasi binafsi ninachoweza kusema siku ya leo olikuwa dhahama kwa Manchester United
Hakuna mchezaji mtata ndani ya 18 kama Arjen Robben , kama mdhaa vile ndani ya 18 ghafla macho yangu yanashuhudia kile nilicho kitalajia kwani haikuwa kazi rahisi kwa kipa wa Man U,De Gea .BAYERN 3-1 Man United (Robben 76
Bayern wanaendeleza kasi kupitia kwa Mchezaji Robben na kumuacha kipa David De Gea akiwa ameshika kiuno.
Ubora wa mchezaji ni pale mchango wako unapo onekana katika mechi ngumu na muhimu:Arjen Robben Robben akionyeshaa utukufu wake mbele ya mashabiki wa Bayern
'Pamoja na juhudi zetu zote kiukweli Bayern wamekuwa kitu kingine ndani ya dakika 20 toka tulipotangulia kuwafunga kupitia kwa Patrice Evra imekuwa shidaaaaa!!!' Rooney
Ahhh ni baada ya Carrick kukosa utulivu pale alipopata nafasi ya wazi mnamo dk ya 84 ya mchezo baada ya shuti lake kuonekana fyonga kwa kuelekea juu kabisa.
Dakika ya 88 ya mchezo!Mchezaji Claudio Pizarro aliwainua mashabiki wa Bayern Munich juu,lakini juhudu zake za kupata bao la nne zimezimwa na mlinda mlango De Gea wa Man U
Anaitimisha kazi muamuzi Katika uangalizi: Swede Jonas Eriksson kutoka Sweden.