Bukobawadau

CHECK OUT VIDEO YALIYOJILI 'BUGANGUZI DAY 2014' MH. MASSAWE ATOA AGIZO KILA KAYA KUCHANGIA MAENDELEO

CHECK VIDEO HAPA CHINI Mkuu wa mkoa Kagera Mhe. Kanali mstaafu Fabian I. Massawewa Kagera akiongea na Wananchi wa Kata ya Buganguzi Wilayani Muleba, kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, Lembris Kipuyo.
CHECK VIDEO HAPA CHINI Mdau wa BUGADEA(Buganguzi Development Association)Ndg Alex Mtiganzi akitoa taarifa ya Washindi wa Mashindano ya kukimbia mbio ndefu kwa Km 36 mbele ya Mgeni Rasmi Mh. Kanali Fabian Massawe mkuu wa Mkoa wa Kagera. VIDEO INAYOFUATA NI  NENO KUTOKA KWA  MWENYEKITI WA (BUGADEA) NDUGU RODERICK LUTEMBEKA 'BUGANGUZI DAY'ILIYOFANYIKA APRILI 19,2014
   
 MWENYEKITI WA BUGADEA NDUGU RODERICK LUTEMBEKA

Mwenyekiti wa (BUGADEA)Ndugu Roderick Lutembeka akizungumza na  mwandishi wa Bukobawadau ,Mwenyekiti wa taasisi  isiyo ya kiserikali  BUGADEA(Buganguzi Development Association)ambayo inaratibu sherehe za Buganguzi day  kila mwaka amesema kauli mbiu ya 'BUGANGUZI DAY 2014' ni "BUGANGUZI KITUO CHA AFYA INAWEZEKANA NA WAWEZESHAJI NI SISI WENYEWE". Kauli mbiu hii inalenga kuwahamasisha wananchi kuendelea kuchangia kituo cha afya  bila kukata tamaa,Kituo ambacho kwa sasa tayari kipo kwenye ngazi ya msingi na kinakisiwa  kugharimu si chini ya shilingi milioni  mia sita (600,000,000).
Next Post Previous Post
Bukobawadau