Bukobawadau

BALOZI KAMALA AELEZEA MIKAKATI YA KUTAFUTA FEDHA ZA KUTEKELEZA MIRADI KATIKA BONDE LA ZIWA TANGANYIKA

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala  akielezea Mawaziri na Wadau wa Bonde la Ziwa Tanganyika jitihada zinazofanywa na Mabalozi kutoka Nchi za Bonde la Ziwa Tanganyika (Brussels) katika kutafuta fedha za kutekeleza miradi mbalimbali katika  Bonde la Ziwa Tanganyika
 Balozi Kamala ni Mwenyekiti wa Kundi la Mabalozi kutoka Nchi za Bonde la Ziwa Tanganyika- Brussels. Kikao cha Mawaziri na Wadau wa Bonde la Ziwa Tanganyika kimefanyika leo
 Mhe.Samia Suluhu Hassan Waziri wa Nchi (Muungano) akiwa katika picha ya Pamoja na Mwenyekiti wa Kundi la Mabalozi wa Nchi za Bonde la Ziwa Tanganyika - Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala. Mhe Samia na Balozi Kamala wanahudhuria kikao cha Nchi za Bonde la Ziwa Tanganyika kinachofanyika Burundi - Bujumbura katika Hotel ya Ziwa Tanganyika
Next Post Previous Post
Bukobawadau