Bukobawadau

TAARIFA YA WAZIRI WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO MH.DKT FENELLA MUKANGARA(MB)KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE MKOANI KAGERA 2014

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akitoa taarifa kwa wanahabari kuhusu sherehe za ufunguzi wa mbio za wa uhuru kwa mwaka 2014 zitakazofanyika kesho May 2,2014mjini hapa
 Sehemu ya wanahabari wakimsikiliza Mh. Waziri Dkt. Fenella Mukangara ,kushoto ni
Liliana Lugakingira, mwandishi wa gazeti la Nipashe na Ndg Phinias Bashaya ,Katibu mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Kagera.

Sehemu ya mwisho ya taarifa iliyotolewa na Mh. Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dk.Fenella Mukangara
 Baada ya kutoa taarifa, Mh. Dkt Fenella Mukangara anatoa nafasi wa waandishi wa Habari Mkoani Kagera kuuliza maswali.
Mmoja wa wanahabari akisikiliza kwa umakini  kinacho elezwa na Mh Waziri Dkt Fenella.
Mh. Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dk.Fenella akiongea na waandishi wa habari Mjini hapa, pamoja na ufafanuzi wa mambo mengine pia  amewata waandishi wa  serikali kuachana na tabia ya kuficha habari za serikali kwasababu kufanya hivyo ni kuwanyima wananchi haki ya Kikatiba ya kupata habari.
 Ndugu Sylvester M. Raphael afisa habari Mkoa wa Kagera

.Bi Ashura Jumapili akiwajibika papo kwa papo.
 Audax Mtiganzi.
Kuna baadhi ya mambo yanayofanywa na serikali kwa maslahi ya taifa yetu hayapaswi kuwekwa adharani kwasababu ya unyeti wake na ndiyo lakini kuna baadhi ya mambo yanatakiwa umma uelewezwe ni maneno ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara 
 Ayubu Mpanja, mwandishi wa Radio Free Afrika
Kushoto ni Bi Liliana Lugakingira, Kulia ni Ndg Phinias Bashaya ,Katibu mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Kagera wakiwajibika.
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu F. Massawe akitoa shukrani kwa waandishi wa habri waliojitokeza kumsikiliza Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara
 Taswira sehemu ya wanahabari ukumbini
Next Post Previous Post
Bukobawadau