Bukobawadau

HARUSI YA ALBERT MUCHURUZA NA BI EVODIA ERASTO YATIKISA MJI WA BUKOBA
 Kama inavyisikika na  minong'ono  kuene juu ya Harusi iliyotikiza Mji wa Bukoba na kuweza kufunika,Basi leo  Bukobawadau Blog, tunakudhibitishia hilo na kukupatia taswira yaliojili ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club japo kwa mkutasari
Ni Harusi ya Mdau Albert Muchuruza na Bi Evodia Erasto pichani, harusi iliyo andaliwa vyema na kuhudhuriwa na watu mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi.
 Wanaonekana Mr and Mrs Muchuruza ambao ni wazazi wa Bwana Harusi
Muendelezo wa tukio la maharusi kukabidhi zawadi ya Keki kwa wazazi.
 Bi harusi akipiga magoti kukakikabidhi zawadi ya Keki kwa wakwe.
 Bwana harusi akipeleka zawadi ya keki kwa wakwe


 Mr.muchuruza
Matukio ya  sherehe ya harusi  iliyofanyika katika ukumbi wa Linas Night Club,Ijumaa May 16,2014


 Mrs Muchuruza akipongezwa na akina mama
Sehemu ya Wanakamati wa harusi hii, chini ya Mwenyekiti Advocate Rweyemamu.
Hata kama mtu alikuwa beasy  lakini hakuwa lahisi kuacha kuhudhuria harusu hii ya Mdau Albert Muchuruza na Bi Evodia Erasto
 Sehemu ya Wanakamati wakipokea keki
 Saida Karoli akifanya yake


 Unclu Salum Mawingo maarufu kama 'Organizer' akifurahia makamuzi ya  Saida Karoli
Meza ya wazazi wa Bwana harusi
Hakika kila kitu kipo sawa ni mwendo wa furaha ndani ya ukumbi wa Linas.
 Timu nzima ya Bukobawadau Blog tunasema hongera sana Mr & Mrs Albert Muchuruza


 Ni fulsa kwa Wazazi wa Bwana Harusi kutoa neno neno kidogo kama anavyo onekana Mr.Muchuruza pichani
Mzee.Muchuruza ambaye ni Baba Mzazi wa Bwana Harusi akikabidhi zawadi ya Biblia ikiwa ni halama ya Upendo na iwe silaha katika maisha yao
Wazazi wa Bwana harusi wakikabidhi zana za kimila mkuki na mundu kwa ajili ya kujilinda
Hapa Bi harusi akiwa kapiga magoti tayari kupokea zawadi kutoka kwa wazazi wake
Mbele ya wazazi wa Bi Harusi
Kivutio kingine katika shughuli hii ni mavazi ya maharusi hawa.
Moja kati ya kitu tunachoweza kujivunia ni ukali wa  picha zinazowafanya maharusi wetu kupendeza zaidi .
 Mr and Mrs Santu sehemu yaWageni waalikwa wakiwa kwenye sherehe hiyo.
 'LUOMPO 'ni aina flani ya Chakula cha kimila kwa jamii ya watu wa Uganda na Kagera
Endelea kuwa nasi kwa picha za  matukio zaidi
Mdau Eng. Kijigo mtu wa watu, mtu wa shangwe akitekeleza jukumu lililopo mbele yake!
Next Post Previous Post
Bukobawadau