Bukobawadau

ADIOS AMIGOS KWA MABINGWA SPAIN 0-2 CHILE

 Mabingwa wa Dunia ,Spain wameyaaga mashindano ya michuano ya kombe la dunia usiku wa leo .
Hispania kiungo wa Hispania Andres Iniesta akikabiliana Mcheaji wa Chile Marcelo Diaz.
Eduardo Vargas akishangilia bao lake dhidi ya Spain
Nini cha kufanya? Kocha wa Hispania Vicente del Bosque anajiuliza bila majibu 
Eduardo Vargas anaipatia Chile 
Kipa Wa Hispania Iker Casillas anasimama katika lengo lake na kushika kiono tu, hii ni baada ya kufungwa
Sergio Busquets anainuka baada ya kukosa nafasi ya wazi
 Kocha Vicente del Bosque anafanya mabadiliko na kumuingiza Fernando Torres
Dakika ishirini kabla ya mpira kumalzika Spain walionyesha dalili za kupata bao.
 Charles Aranguiz anaipatia Chile bao la pili'
Kulikoni jamani , kweli kombe la dunia linamiujiza yake...



Bahari imechafuka, makasia hayana kazi tena...
 Mwisho wamchezo wanaonekana Wachezaji wa Chile  Mauricio Isla pichani kushoto na Mlinda mlango Claidio Bravo wakishangilia ushindi dhidi ya Spain.

Mabingwa wa Dunia Spain katika sintofahamu baada ya kutolewa katika michuano hiyo inayoendelea Brazil
 Isha kuwa noma hizi sina haja nazo tena: Kipa Iker Casillas anavua groves(kinga ya mikono yake) na kuzirusha upande wa mashabiki.
 Chile wakisherekea ushindi dhidi ya Spain
 Mabingwa wa dunia wanatolewa nje kabla ya Uingereza ...haaa!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau