Bukobawadau

TANGAZO NAFASI ZA AJIRA KADA ZA AFYA KWA MWAKA 2013/2014

OFISI YA MKUU WA MKOA WA KAGERA INAWATANGAZIA WATAALAMU WA KADA MBALIMBALI ZA AFYA  KUWA BADO KUNA NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA NA KATIBU MKUU WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KATIKA SEKRETARIETI ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA.
BARUA ZA MAOMBI ZIANDIKWE KWA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA KUWASILISHWA KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA AU OFISI ZA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA ZA MKOA WA KAGERA KABLA YA TAREHE 20/06/2014
KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU VIGEZO VYA WATAALAMU, WATAALAMU WANAOHITAJIKA, MIKOA NA HALMASHAURI ZA WILAYA WANAZOTAKIWA KUCHAGUA KUFANYIA KAZI TAFADHALI TEMBELEA MBAO ZA MATANGAZO ZA OFISI YA MKUU WA MKOA WA KAGERA NA HALMASHAURI ZA WILAYA  ZA MKOA WA KAGERA
UPATAPO TAARIFA TAFADHALI MJULISHE NA MWENZAKO

Imetolewa na:         Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
                        S.L.P 299
                        BUKOBA

                        
Next Post Previous Post
Bukobawadau