Bukobawadau

AMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TABATA 2014

 Redd`s Miss Tabata 2014,Ambasia Maliy (katikati) akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika usiku wa Ijumaa June 6,2014 katika ukumbi wa Da` West Park Jijini Dar es Salaam
Redd`s Miss Tabata 2014,Ambasia Maliy katika picha na  Mshindi wa Pili wa shindano hilo  Evodia Mdemu(kushoto) pamoja na Mshindi wa tatu Lightness Olomi
Redd`s Miss Tabata 2014,Ambasia Maliy 
 Miss Tabata 2013 ,Doris Molel akisubiri kwa hamu kubwa kutangazwa mrithi wake
Redd's Miss Tabata 2013,Doris Molel aliyekaa na Warembo tano bora wa Miss Tabata 2014
 Top 5 bora Miss Tabata 2014
Mrembo aliyekuwa akishikilia taji hilo la  Miss Tabata 2013 ,Doris Molel (kulia) akikabidhi taji hilo kwa mshindi mpya.
 Sehemu ya wanahabari wakiwajibika
 Mc Double A ameeza kumudu shughuli hii iliyofanyika katika ukumbi wa Da` West Park Jijini Dar es Salaam
'The mutuz' william Malecela akitangaza Top 10 ya Warembo 16 walioshiriki kwenye kinyang'anyiro cha kusaka malkia wa Tabata, Redds Miss Tabata 2014.
  Warembo wote wakipita jukwaani kuonyesha vazi la usiku
 Warembo wa Redd's Miss Tabata 2014, wakicheza shoo ya mwisho wa shindano lao.
 Show ya mwisho wakiwa katika vazi la usiku
 Mdau Ben Kataruga Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Ben Expeditions mmoja wa wadhamini wa Shindano hili akiwapongeza washiriki kwa kuwapigia makofi.
 Mr . Charles Hamkam ,Managing Director waCXC Africa Ltd Mshirika mkubwa wa Miss Tabata 2014
 Bendi ya African Stars “Twanga Pepeta” ikisindikizauzinduzi wa Redds Miss Tabata2014
 Twanga Pepeta wakilitawala jukwaa la Da' West usiku huu

 Wadau pichani wakifuatilia kinachoendelea ukumbini
 Mshindi wa Pili wa shindano hilo  Lightness Olomiambaye pia ni Miss Talent
 Aliyetangazwa kama mshiriki mwenye nidhamu ni Nuru Omary pichani.


William Malecela, Le Mutuzi akifuatia kinachojiri ukumbini
 Wakishow Love kama kawaida
 Katikati ni Mshindi wa Miss  Chang'ombe 2014
 Nyomi ndani ya ukumbi wa Dar West
 Warembo wa Redd's Miss Tabata 2014, wakicheza shoo ya ufunguzi wa shindano lao. 
 Warembo  wanaoshiriki kinyang'anyiro cha Miss Tabata wakiwa jukwaani kwa shoo ya ufunguzi

 Salute kwako! Mkubwa Ben Kataruga

Inaendelea...................Soon!
Next Post Previous Post
Bukobawadau