

Ni msichana wa kazi amekuwa akifanya kazi kwa mama mmoja ambae ndio amekuwa akimfanyia unyama huu kwa amiaka mitatu sasa.Na ili asipate msaada kwa mtu yoyote amekuwa akimfungia ndani tu hatoki njema yaani kama mateka.Huyo boss mwenyewe naona pia sio mzima lazima ana kichaa.Ila nimeumia sana,mzazi unamtoa mwanao huko kijijini aje mjini kufanya kazi hujui hili wala lile kumbe haya ndio yanamkuta jamani.
Binti ana miaka 20 naona alikuja mjini akiwa na miaka 17.
Fatilia heka heka za leo kwenye leo tena Iijumaa ya LeoGea Habib ana taarifa kamili.
CREDIT DINA MARIOS
0 comment:
Post a Comment