Chatu limetokea chumbani kwa huyo mama ghafla likaenda kwenye maua halijamdhuru mtu wanajitahidi kuliuachatu akutwa nyumbani kwa mtu, mwenye nyumba alipopigiwa simu akasema asiuwawe Ni mwanae, imetokea sasa hivi arusha, huko sakina maeneo ya motel 2000
Mwenye nyumba anaitwa Magesa.Jamani walimwengu hawaachi tu kutushangaza muda huu nimerudi nyumbani nasinzia sinzia ndio napewa yaliyojiri mkoani arusha huko.
MWENYEWE AOMBA ASIUAWE NI MWANAE WA KWANZA
4 comment:
hiyo sio Quran nyie wapumbavu kabisa
KWA HIYO KUNA MSIBA WA MWANAU?NA WAUAJI WATACHUKULIWA HATUA GANI?
HIYO SI QURAN. KUWENI MAKINI NA MNACHOKIANDIKA.
Mwisho was dunia
Post a Comment