Bukobawadau

YALIOJIRI NDANI YA KIOTA CHA SAMAKI SAMAKI

Yaliyojiri kwa juma hili  Samakisamaki@town,Kiwanja cha kijanja
Wapenzi na mashabiki wa LIBENEKE la Bukobawadau Blog
Msanii wa Bongo Fleva, David Genzi 'Young Dee'katika pozi na DJ Vasley wa Samakisamaki
Wadau  ndani ya Kiota maarufu cha starehe jijini Dar es Salaam cha Samaki Samaki
Kwa Pamoja wakisherekea Birthday ya mwenzao
 Wakishow LOVE na Camera yetu
Kijana Victor Vasley Sleyman(Dj Vasley)
 Wakifurahia birthday
 KwaMtambo kasimama VYEMA Dj Biggie
Shukrani kwenu nyote mnao endelea kutambua uwepo wa LIBENEKE letu
Natambua uwepo wa  Mr Ben Kataruga ,shukrani kwa ukalimu  Wako Kiongozi
Dk Vinus Kataruga akifurahi na  Causin zake mbele ya Camera yetu .
Bloger Mc  nikitoa macho katika kuona na kujifunza mengi, hakika Mjini ni Changamoto SALUTE kwako Mr. Ben Kataruga  kwa ukalimu na ucheshi.
Katika hili na lile
Kushoto ni Kijana Ali Hamza, Dk Verusi Mboneko Kataruga Mboneko na Mdau Ben Kataruga.
Dk Verusi Mboneko Kataruga akiteta jambo na Mdau Ben Kataruga
Unaambiwa starehe gharama.
Muonekano wa  Swagger tofauti ndani ya Kiota cha Samakisamaki
 Mdau Avit Kato na Mdau Wase Denise wakishangweka.
 Katikati ni T Bway Mtangazaji wa Eatv.
Tunaendelea kukupa tofauti kwa kukuoneshawaonesha yaliyojiri kwenye picha hapo Samaki samaki
Bukobawadau Blog katika Matukio kadhaa moja kwamoja kutoka Samaki samaki ya Mjini Dar es Salaam kwa juma hili.
 Taste Africa’s world class beer. Windhoek Lager 100% PURE BEER…Next Post Previous Post
Bukobawadau