BALOZI KAMALA AMKABIDHI ZAWADI BALOZI KODJO
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi
wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) akimkabidhi zawadi Balozi wa Togo
Jumuiya ya Ulaya Balozi Kodjo Sagbo kwa niaba ya Kamati ya Mabalozi w
ACP. Balozi wa Togo amemaliza kipindi chake cha kuwakilisha nchi yake
Jumuiya ya Ulaya.