Bukobawadau

KISOMO CHA SHUGHULI YA HITIMA YA KUMREHEMU MAMA YAO MPENDWA'MA SANIA A.ITEMBWE'

Hii ni sehemu ya matukio ya picha katika shughuli ya kisomo cha hitima,iliyo andaliwa na familia ya Itembwe  wa Kijijini  Nkaka-Kiziba katika kumuombea Mama yao Mpendwa.
 Sehemu ya Wanafamilia ya Marehemu Haji Abdallahman Itembwe
Baadhi ya wageni waliohudhuria katika shughuli hiyo
 Sheikh Mustapha Sadick.
 Wahumini wakishiriki Ibada ya swala ya dhuhuru, katika Shughuli ya Hitima ya Marehemu Ma Fatuma  Mohamed aliye fariki mwaka mmoja uliopita
 Ibada ikiendelea...
 Sheikh Haruna Kichwabuta akimpokea Haji Abbbakari Galiatano.
 Pichani ni Haji Hadamu Sued Kagasheki
Mwl. Bilikesi akiongoza shughuli hiyo
 Sehemu ya waalikwa wakimsikilia Mwendeshaji wa shughuli hii.
 Taswira sehemu ya wananchi na waumini waliojitokeza katika shughuli ya Hitima ya Kumuombea marehemu Ma Sania .A. Itembwe
 Bila shaka hapa kuna jambo limewapendeza wadau pichani
 Abdul Itembwe, Hamza Ngemera na Yusuph Ngemera wakiteta jambo
 Mshirika mkubwa wa Matukio ya Kijamii Mdau Optaty Henry (Katibu)pichani kushoto.
 Mzee Sadick Mohamed yeye ni Ndugu wa Marehemu Ma Sania
 Mzee Kagenda Mmoja wa wadau ambaye amekuwa karibu sana na familia ya Itembwe.
Anaonekana Mdau Jumanne Bingwa.
 Mapema alionekana Ndg Khalid Itembwe katika hekaheka za maandalizi.
 Mdau Abdallah Idrisa mmoja wa waalikwa.
 Mchakato wa kupata mula ukiendelea.
 Wakiti huo huduma ya chakula ikiendelea...chini ya usimamizi wa Mdau Baba Mzee (Katikati)


 Katikati ni Mzee ABDUL Itembwe maarufu kama Itembwe wa 'Hamugembe'
Mdau Hamza Ngemera akimkalibisha Sheikh Mustapha.
S heikh Haruna Kichwabuta akisalimiana na ndugu Hamza Ngemera alipowasili kijijini  Nkaka Kijunja kuhudhuria katika Hitma ya Marehemu Ma Sonia Mohamed.

 Sehemu ya Waalikwa wakiwa wamesimama kusalimiana na Sheikh wa Mkoa wa KAGERA, Sheikh Haruna Kichwabuta
 Waalikwa wakiendelea kuwasili .
 Wanafalia hii wakifurahia Burudani ya Kaswida.
Furaha ikiendelea kutawala.
 Moja ya Madarasa kutoka Mutukula ikitoa burudani ya Kaswida.
Akina mama wakijumuika na wageni wengine katika kisomo cha hitima Kumuombe Kumuombea  Marehemu Ma Sonia Mohamed
 Sheikh Mustapha Sadick katika picha na Balozi Hamada Ngemera
 Kutoka Maruku ni Sheikh Chabitala akishusha Mlango wa pili wa QURAN.

 Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa nasaha zake.
 Sehemu ya Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria kisomo cha Hitima iliyo andaliwa na familia ya Itembwe Kumuombea Dua Marehemu Mama yao Mpendwa.
 Kutokana na uwalidi mkubwa katika kutoa nasaha , wadau wananyanyuka kumtunza sheikh Haruna
Twaha Msoke akishindwa kujizuia.
Huduma ya chakula ilianza kutolewa kuanzia saa tano asubuhi.
Mdau Khakim kichwabuta, Salum Organizer, Majid Kichwabuta na Haruna Kichwabuta pichani
 Utaratibu wa kupata chakula
Kupata msosi .
Hitima ya Kumuombea Marehemu Ma Sonia Mohamed iliyo ambatana na Maulid ikiendelea , nyumbani kwao kijijini Nkaka huko kiziba.
 Sheikh wa Kata Kiziba.
 Majid Kichwabuta pichani katika mchakato wa kuchangia ujenzi wa msikiti kijijini  Nkaka,ambapo ameweza kuchangia kiasi cha tani kadhaa za saruji.
 Wanafunzi wa Madarasa wakitoa simulizi za Hadiyth ..... [elimu].
 Upande wa pili anaonekana Mwali Bi Arafa Abdulziad Kashinde aliye olewa hivi majuzi katika familia hii ya Marehemu  Haji Abdallahmani Itembwe.
 Fulsa maalum kuwakaribisha Mr& Mrs Kassim Itembwe waliofunga ndoa hivi karibuni.
 Balozi Ngemera akitoa neno kwa niaba ya familia ya Marehemu Haji Abdallahmani Itembwe
Sasa ni burudani ya Dufu. 
 Dufu likipigwa na kuchezwa.
  Sheikh Mustapha akiwaongoza waumini kunyanyua mikono juu kuomba dua ya kufunga shughuli ya hitima maalum maalum iliyoambatana na Maulid
Masheikh  wakisoma Dua ya pamoja hii ni mapema mwanzoni mwa shughuli ya hitima
 Matukio zaidi yanapatikana katika ukurasa wetu wa facebook'Bukobawadau Entertainment Media'
 Sehemu ya Waalikwa kutoka pande za Masaka Ukanda walioshiriki shughuli hii
 Mzee Nurag Galiatano akiteta jambo na Mwl. Bilikesi
 Mwalimu Hadinani pichani kulia
 Upande wa Video, alisimama vyema kijana Steven 
 Kijana Hadam na Afidha Abdulmalick ni sehemu ya washirika.
 Mdau Ibra Hamza pichani

SEHEMU YA KWANZA YA VIDEO, KATIKA KISOMO CHA HITIMA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MA SANIA MOHAMED PATA KUONA NA KUMSIKILIZA SHEIKH HARUNA KICHWABUTA KATIKA SEHEMU YA PILI YA VIDEO. Taswira Wadau wakisikiliza kwa makini nasaha za sheikh Haruna Kichwabuta.
Next Post Previous Post
Bukobawadau