CHECK SHANGWE GROOVEBACK NDANI YA EAST-24 BAR & GRILL THE ARCADE HOUSE
Huwezi kuzungumzia historia ya disco nchini Tanzania na kuacha kuwataja Dj kelvin Twissa na Dj Peter Moe kama wanavyo onekana wakiwajibika (pichani). Hawa ni miongoni
mwa DJs wachache ambao, miaka nenda miaka rudi,wamekuwa wakijizolea
sifa za kipekee katika kuhakikisha kwamba mashabiki wa muziki sio tu
kwamba hawabanduki stejini pindi wakiwa mitamboni bali pia wanapata
“raha kamili”.
Ni shangwe ndani ya Club East 24 Bar & Grill,chini ya Dj KT,kelvin Twissa na Dj Peter Moe,”. Hali hiyo ndio imesababisha watu
wengine wathubutu hata kusema kwamba ikiwa hujawahi kuhudhuria disco au
shughuli nyingine yeyote yenye burudani za miziki huku udhibiti wa kule
inakotokea burudani ukiwa chini ya wakali hao , basi huenda ukawa
hujapata bado hiyo “raha kamili”.Hata hivyo habari njema ni kwamba hujachelewa kwani DJ kelvin Twissa alikuwepo, bado yupo na ataendelea kuwepo yote ni ndani ya East 24 Bar & Grill.
Pichani ni matukio ndani ya East 24 Bar & Grill, Mikocheni, Dar es salaam jirani kabisa na KFC!!
Grooveback ni shidaahh.. watu hawabanduki stejini kutokana na kunogewa na mtiririko wa ngoma/ mapini.!!
Tupo na kinywaji bora cha Windhoek Lager
Hawa ni wakurugenzi wa Club East 24 Bar & Grill ,Mr Jerome Rugemalira na Kelvin Windhoek
Mwanadada Bocke pichani katikati anahusika ndani.
Hii ni zaidi ya Shidaaah
Mchezo wa Pool ukichukua kasi kwa viwango tofauti ndani ya East 24 Bar & Grill .
Yupo Mdau Devi aka aka Dandu katika kufurahi na Wakurugenzi Mr Jerome na Mr Kevin
GroovebackSaturdays @ East 24 Bar, Arcade House, Mikocheni!!!!Every Saturday; Perfomances by: Dj Peter Moe, KT, Dj Crucial, Tony & JB… Damage 10,000/-; 9pm - Till late #DON’T MISS THIS!!!
Taste Africa’s world class beer. Windhoek Lager 100% PURE BEER…


















