Bukobawadau

KIPA 'GUILLERMO OCHOA' AMGOMEA NEYMAR:BRAZIL 0-0 MEXICO

Hii ni sehemu ya mashabiki wa Mexico
Jina Oribe Peralta lilipotajwa ,lilishangiliwa sana na mashabiki wa Mexico kama vile jina la Neymar linavyo chukuliwa na kushangiliwa na umati mkubwa wa Brazil
Mashabiki wa Brazil katika  uwanja wa Estadio Castelao
'Full -Back' Mkongwepichani ni 'Legendary Cafu' akisalimiana na  nyota wapya  wa Brazil
 Wachezaji Brazil wameimba wimbo wa taifa kwa shauku kubwa sawa na wiki iliyopita.
Mcheaji wa zamani wa Chelsea mlinzi David Luiz akiimba kwa hisia wimbo wa taifa.

Machozi yakimtoka Neymar hii ni  baada ya wimbo wa taifa
Neymar akikabiliana na hali ngumu ya maumivu ,lakini hakuna kadi yoyote iliyo tolewa na muamuzi.
Hii imekuwa kaulimbiu ya mchezo hadi sasa ...ni maamuzi  mabovu ya Muamuzi kutoka Uturuki aliyewahi kuwakwaza Wapenzi na mashabiki wa Man U dhidi ya Real Madrid, pale alipotoa kadi nyekundu kwa Nani kipindi cha misimu miwili iliyopita...
Kipa Ochoa anaokoa mchomo mkali wa Neymar
Eneo lenye Utata, Mlinzi Cesar  anaokoa mpira na kutoka nje inakuwa GOAL Kick badala ya kona!
Nehmar akikimbizana na wachezaji wawili wa Mexico
Usiulize ni nini anachokifanya...
 Fred kakatishwa tamaa kwa siku ya leo
Kiongozi ni mfano, ndivyo anavyo onyesha jitihada Mchezaji  David Luiz  akitokea nyuma na mpira.
Ramires (kushoto) anajaribu kumtoka  beki wa Mexico Andres Guardado
 Mlini wa Mexico  Miguel Layun aking'aka baada ya kuchezewa vibaya na Dani Alves
  Neymar anatambaa na mpira licha ya usumbufu kutoka kwa Andres Guardado


 Pamoja na jihadi yote, leo Nehymar patupu
Dakika tatu za nyongeza  Mexico wanakoswa koswa ni kazi nzuri Hernandezbaada ya kipa kuokoa mshomo wa Cesar.
Mashabiki wa Brail.
 Mashabiki wa Brazil wakifuatilia mtanange wa Mexico
 Neymar anaruka juu zaidi ya Rafael Marquez na kujaribu kutupia mpira kwa kichwa  
 Oscar (kushoto) na Hector Moreno pichani kulia wakionyeshana umwamba
 Mcheaji wa zamani wa Tottenham Giovani dos Santos akikatishwa yake na  Dani Alves
 Neymar anaingia wavuni mwenyewe baada ya kukosa bao

Bernard (No 20) anajaribu kufanya kitu kwa Brazil, huku akipata pingamizi kutoka Mchezaji  Oribe Peralta aliye chini katika picha 

Ochoa anapata  wakati mgumu kuokoa mchomo waa David Luiz pichani (kushoto) wakati huo yupo Paulinho lurk akifuatilia kwa ukaribu.
Katika Kulinganisha matukio,Baadhi ya watu wanasema alicho kionyesha kipa Ochoadhidi ya  Neymar  ni sawa na enzi za  Gordon Banks 'dhidi ya Pele
 Tukio  muhimu namna kipo wa Mexico alivyo weza kuokoa jahazi
Julio Cesar kipa wa Brazil akiwajibika. 
 Mashabiki wa Mexico
Leo Samba limegoma kuchezeka!! mpaka mwisho Brail 0-0 Mexico.

Next Post Previous Post
Bukobawadau