Bukobawadau

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA KENYA

Mhe. Janet Mbene Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na  Balozi wa Tanzania Kenya Dr. Batilda Burian (wa pili kutoka kushoto) na Balozi wa Tanzania Ubelgiji (wa kwanza kulia). Mhe. Mbene yupo Kenya akihudhuria kikao cha Baraza la Mawaziri la Afrika, Karibiani na Pacific (ACP).
Next Post Previous Post
Bukobawadau