Bukobawadau

NI MTAA KWA MTAA NA BUKOBAWADAU BLOG!

 Camera yetu katika hili na lile mtaani, tunakutana na wadau katika harakati za hapa na pale.
 Kinyana  Kakulu kutoka Mitaa ya Majengo Mapya Mjini hapa ,anaonekana akibofya kimtandao...!!
Mdau Moa Nyundo, akiwa ameongoza na Mdau Obra Karugira.
 Tukiwa mitaa ya Migeyo, tunakutana na Mdau Alistides Rwamgila (Stide wa State)
Mdau Mwalimu  Pius Rwamugila kushoto,akiwa na Wadogo zake pichani  katikati ni  Bi Domina  Ishas Rwechungura,na Mdau Alistides ambao kimaisha wapo huko America pande za Downingtown, Pennsylvania.
Kutoka kushoto ni Mdau Mwalimu Pius Rwamgila,Mdau Romani Rwamgila na Alistides Rwamgila kwa pamoja wanatambua na kuthamini uwepo wa Bukobawadau Blog.
 Katikati yaMji wa Bukoba, tunabisha  hodi ndani ya Ofisi ya 'Vouchar Center' tunakutana na Mdau Salome aka 'Mama Chui',Chui na London,chui wa mikogo,mama wa milindimo,mama Baraka,Rais wa zamani mtaa wa migeyo na Sasa ndiye Rais wa Mitaa ya Kati.
 Ndani ya Duka la'Mama Parvin' Duka maarufu la Vipodozi vyenye ubora, kwani ukinunua Kipodozi dukani hapa vitakufanya MTUMIAJI uwe na thamani kwani wakati wote utakuwa unang'ara na kupendeza mfano wa Bi Maua Daftari wa Ramadhani pichani.
 Unaambiwa hakuna mwanamke asiyependa ngozi ya sura yake.
 Mbele ya Camera yetu ni Kijana Baraka ,Kijana mtanashati na mwenye maadili.
 Anaitwa Kato George, Mdau kutoka G-Smart Boutique.

Next Post Previous Post
Bukobawadau