Hivi ndivyo mashabiki walivyojitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo wa leo.
Watu ni wengi uwanjani wakiwa na hisia tofauti.
Ndivyo anavyo ingia uwanjani Mdau Jumanne Bingwa.
Sehemu ya mashabiki uwanjani.
Mabingwa watetezi Timu ya Bilele wakipiga Jalamba uwanjani.
Unaambiwa Mjini Mipango ndivyo wanavyo onekana wachezaji wa bilele wakiwa wamevalia Uzi wao mpya wa Mbeya City.
Wachezaji wa Bilele wakiendeleakupasha misuli ndani ya Uwanja wa Kaitaba.
Ni mechi ya Ufunguzi kati ya Timu ya Bilele na Timu ya Rwamishenye.
Mashabiki wakiwa tayari ndani ya Uwanja wa Kaitaba.
Mdau Jamal Kalumuna kushoto,Kikosi kazi(katikati) wa mwisho ni Sued Kagasheki.
Muendelezo wa picha mbalimbali sehemu za mashabiki
Ndivyo anavyo onekana Mwananzengwe Aziza wa Matukio.
Katika pozi anaonekana Mdau Theo Martin
Viongozi wa Timu ya Rwamishenye wakiwa Chemba.
Mdau Salum Bonge pichani kushoto
Mkusanyiko wa lika mbalimbali uwanjani.
Sehemu ya mashabiki wa Rwamishenye
Mchezo ukiendelea Uwanjani
Kona kuelekea katika lango la timu ya Rwamishenye.
Muamuzi akiwaambia wachezaji wa Rwamishenye kurudi uwanjani baada ya kushangilia.
Bango la Bilele ambao ndio Mabingwa watetezi wamichuano ya Kombe la Mbunge Kagasheki.
Jukwaa la Mashabiki wa Bilele.
GooAl;Ni dakika ya70 kipindi cha pili Rwamishenye wanapata bao la tatu dhidi ya Bilele 3-1
Shabiki wa Bilele pichani kushoto ni Mdau Hamis.
Hao ni ashabiki wa Soka wakimzonga, Ndg Amary (katikati) ambaye ni Mnazi mkubwa wa Bilele
Katika sintofahamu anaonekana Ndg Optaty Henry Katibu wa Timu ya Bilele
Mechi ya Ufunguzi wa Kagasheki Cup ikiwa imemalizika hivi punde.
1 comment:
pole bilele,na nyie ni kama spain wazee wengi.
Post a Comment