SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

20 June 2014

KUBOMOKA KWA DARAJA LA TABATA KINYEREZI

 Lori lililokuwa limebeba kontena limejaribu kupita daraja linalounganisha UKONGA {BANANA)- SEGEREA- KINYEREZI NA MBEZI limeharibika kabisa kwa kutumbukia na lori , kwa sasa foleni ni kubwa magari yote yanarudi, kwa wanaotoka mjini ni vyema kutumia njia ya VINGUNGUTI kwenda KINYEREZI, SEGEREA NA MBEZI, 
Daraja limearibika sana.
 Mfumo wa kudhibiti malori ya mizigo ni dhaifu sana nchini, madereva wangepewa route za kupita pale wanapotoa mizigo bandari na wanapoingiza mizigo hapa mjini kutoka mikoani
MAONI KUTOKA KWA MDAU NI VYEMA SHERIA IKACHUKUA MKONDO WAKE, haiingi akili mjinga mmoja kukata mawasilino wa watu wote kwenye njia muhimu kama hii.

1 comment:

Prudence Karugendo said...

Hilo ndilo tatizo la mtu kufanya kazi ambayo hakuisomea. Kama dreva wa gari hilo angekuwa ameenda VETA sitegemei kama angefanya ujinga wa aina hiyo, kupitisha gari la tani 40 mahali wanaposema ni tani 7 tu

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU