Bukobawadau

ITALY 0-1 COSTA RICA;Hii inamaanisha England ni timu ya Nne kuyaaga mashindano Haya!

Costa Rica wakisherekea ushindi wao wa 1-0 dhidi ya Italia ambao  unawapeleka hatua ya 16 bora.
 Costa Rica wakipongezana kupatanafasi ya kuingia hatua ya mtoanokuwa mchakato 
 Fulham flop Bryan Ruiz akishangilia bao lake lililopatikana dakika za mwisho kipindi cha kwanza.
Ruiz anaunganisha mpira wavuni kwa njia ya kichwa na kumucha Gianluigi Buffon katika hali ya unyonge.
 Bao la Ruiz limetua nyuma mstari na kurudi lakini  tayari ilisha hesabika.
Kwa matokeo haya  Italia na Uruguay zinakutana siku ya Jumanne na mshindi ndiye ataendelea na hatua ya inayofuata,sare itapelekea Italia kupita
 Nafasi ya wazi kwa Mario Balotelli baada ya kumkwepa kipa, lakini malengo yake ayakwenda vizuri
 Kosa la wazi kabisa, hapapalistahili penati ni baada yaMchezaji wa Arsenal,Joel Campbell kusukumwa na beki wa Italy Chiellini
Joel Campbell akilalamika baada ya kuchezewa  vibaya 
 Andrea Pirlo hakuweza kuwaongoza vizuri Italia kama alivyofanya dhidi ya Uingereza 
Hakika ni kitu cha kujivunia kwa Wachezaji waCosta Rica kitendo cha wo kuifunga Italy na kupeleka aibu kwa Waingereza. 
Daniele De Rossi anaonekana mwenye machungu na huruma wakati wa nyimbo za taifa lakini anajitahidi kiutu uizma machozi yasimtoke
Kushinda kwa Costa Rica inamaanisha England ni timu ya Nne kuyaaga mashindano haya.
Next Post Previous Post
Bukobawadau