Bukobawadau

NDANI YA MUJUNGI PUB BUGONZI-KAMACHUMU

 Pichani ni majengo yanayotumika kama Hotel ya Mujungi  iliyopo maeneo ya Bugonzi ndani ya Mji Mdogo wa Kamachumu Wilayani Muleba ambayo hadi sasa mwekezaji wake anaendelea na Ujenzi.
Endelea kuona picha mbalimbali  muonenekano wa Eneo la 'Mujungi Pub'
 Mradi wa ujenzi wa  vyumba vya hoteli hiyo ukiwa bado unaendelea.
 Ndivyo linavyo someka bango la hotel hiyo anayo endelea kutumika kwa hivi sasa.
 Mazingira ya bustani  katika hoteli hiyo
 Uzio wenye bustani ya miti
 Kama ilivyo shughuli nyingine yoyote katika eneo hili pia Mwekezaji anafuga Samaki.
Muonekano wa bwawa la Samaki lenye samaki wakubwa.
 Msimamizi wa eneo hili akijaribu kuelezea sifa mbalimbali za mimea iliyomo ndani ya mazingira haya.
 Taswira mazingira yanayo zunguka eneo la Mujungi Pub
 Usawa wa Mujungi Pub inaonekano  barabara inayo elekea Rutaba Shule ya Sekondari
Nyuma ya picha ya mwanadada'Background ' ni muonekano wa Barabara ya  Rutabo Sec.
 Muonekano wa Mazingira ya Mujungi Pub wakati mchakato wa Ujenzi bado unaendelea.
 Taswira ndani ya Pub ya kisasa inajulikanayo kama ' Mujungi Pub'iliyopo maeneo ya Bugonzi Kamachumu 
 Eneo la Kaunta ikiwa bado mchakato wa ujenzi unaendelea.
 Ujenzi wa Ukumbi  mkubwa ukiwa bado unaendelea.
 Ni mmoja kati ya wa hudumu wanao wajibika katika Pub ya Mdau Mr.Mujungi
 Staff katika picha ya pamoja.
Moja ya Jengo ujenzi ukiwa bado unaendelea.
. Mandhari ya vyumba inavyoonekana wakati ujenzi ukiendelea.
 Sehemu ya Wahudumu kama walivyokutwa na Camera yetu.
Tunavutiwa na Viti vya makalio vilivyo kimtindo na vinafaa katika Pub.  
 Katika swala zima la kuhifadhi mazingira, Mwekezaji huyo tayali ameanzisha Bustani za miti.
Ndivyo anavyo check na Camera yetu  moja moja kutoka 'Mujungi Pub'huko Kamachumu!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau