Bukobawadau

SHIRIKA LA NDEGE LA FLIGHTTLINK LAONGEZA NDEGE AINA YA EMBRAER 123

Pichani ni Mkurugenzi wa Masoko Shiriki la Ndege la Flightlink Ndugu Ibrahim Bukenya
 Shiriki la Ndege la Flightlink laongeza ndege aina ya Embraer EMB 123 itakayo fanya safari zake Dar-Dodoma,Arusha na Mtwara,Shirika hilo kwasasa linafanya safari zake hapa nchini miaka 10 iliyopita likisafirisha wateja kwenda Dar,Zanzibar,Pemba,Selous,Arusha,Serengeti na sasa kuanzisha safari za Mtwara na Dodoma.
Mkurugenzi Masoko Ndugu Ibrahim Bukenya amesema Shirika hilo pia linatoa huduma za kukodisha ndege ikiwa pia na kutoa huduma ya Air Ambulance nchini na nje ya nje kwa kutumia ndege mpya za kisasa.Wasiliana nao kupitia www.flightlink.co.tz
 Kwa usafri bora wa Anga tumia ndege za kampuni  ya Flightlink
Muonekano wa ndani wa Ndege za Kampuni ya Flightink.Wasiliana nao kupitia www.flightlink.co.tz
Next Post Previous Post
Bukobawadau