Bukobawadau

NGOMA AFRICA BAND AKA FFU KUKAMUA TENA JUKWAANI JUMAMOSI 14 Juni 2014 katika DIETZEN FESTIVAL ,JIRANI NA FRANKFURT

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU ughaibuni
wanatarajiwa kutingisha jukwaa tena katika onyesho kubwa la 

DIETZEN FESTIVAL,litakalofanyika siku ya jumamosi 14 Juni 2014 katika anuani
 kamanda Ras Makunja wa FFU aka Ngoma Africa band
 Ngoma-africa-band
Schwimmbad Freibad Waldschwimmbad Dietzenbach, Offenthaler Stra├če 85, 63128 Dietzenbach, jirani na Frankfurt,huko Ujeurimani,Muziki wa ngoma africa unafananishwa sawa na gwaride la FFU na wapenzi wa bendi hiyo .
wasilike FFU Ughaibuni at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
Next Post Previous Post
Bukobawadau