Bukobawadau

TANZIA‬ MZEE SMALL AFARIKI DUNIA!

Muigizaji maarufu hapa nchini Said Ngamba (Mzee Small), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Mwanaye aitwaye Mahmoud amesema baba yake (Mzee Small) amefariki saa 4 usiku na tatizo kubwa lililokuwa linamsumbua ni presha.
R.I.P Mzee Small
Next Post Previous Post
Bukobawadau