Bukobawadau

CAMIRA CINDY NDIYE REDD'S MISS DAR INDIAN OCEAN 2014

Mshindi wa Taji la Redd's Miss Dar Indian Ocean2014 Camira Cindy ,katika picha na Mshindi wa pili Getrude Massawe (kushoto)na mshindi wa tatu  Merry Shilla pichani kulia.
 Hii ndio Top 5 ya Miss Dar Indian Ocean 2014

   Warembo walioingia Tano Bora wakiwa katika pozi.
  Tunatoa Shukurani kwa Wadhamini wakuu waliofanikisha habari hii,Ben Expenditions Tours& Traver,Kampuni inayofanya shughuli za Kitalii katika Hifadhi mbalimbali nchini
 Mshindi wa tatu  Merry Shilla katika Vazi la usiku

Miss Getrude Massawe,mshindi wa pili wa taji  la Redd's Miss Dar Indian Ocean 2014 .
 Katika vazi la usiku ni Mshindi wa taji la  Miss Dar Indian Ocean2014 Camira Cindy
Anaitwa Camira Cindy Mshindi wa Miss Dar Indian Ocean2014
Mshindi wa pili akiwa katika vazi la ufukweni 
Shindano hili limeandaliwa na Rahmat Entertainment wakishirikiana na Chichi Hotel litafanyika
  Matukio yaliojiri  katika shindalo la kumtafuta Miss Dar Indian Ocean 2014 lUsiku wa Jana Jumamosi June 7,201, Ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounge.
 Shukrani kubwa kwake Mdau Ben Kataruga ,Director  Ben Expenditions Tours& Traver,Kampuni inayofanya shughuli za Kitalii katika Hifadhi mbalimbali nchini
Next Post Previous Post
Bukobawadau