"Nikwa mda mrefu sasa nilikuwa nje ya nchi kwa maswala ya Music,ikiwemo kushiriki utolewaji wa Tuzo za BET zilizofanyika L.A nchini Marekan, na jana ndiyo siku niliyorudi, kiukweli sikutegemea kukutana na nilichokikuta, umati mkubwa wa watu waliokuwa wamejitokeza kunipokea, kiukweli imenipa faraja sana,kuona ni kiasi gani Watanzania wenzangu wamekuwa na uzalendo kwangu kiasi hiki,
Nawashukuru wote walioacha kazi zao ama kuvunja ratiba zao na kuja
airport kunipokea, Ahsanteni na ninawapenda daima" Ni maneno ya Diaomnd
Platnumz alipokuwa anaongea na wanahabari kuhusiana na mapikezi hayo jana.
Anaonekana Wema Sepetu
Matukio ya hapa na pale mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere
Sehemu ya wanahabari wa vyombo mbalimbali
Ni mapokezi ya Bwana Naseeb Abdul “Diamond”akiwasili Uwanja wa Ndege Jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment