Bukobawadau

BEI MPYA YA VANILLA KUTOKA MARUK VANILLA FARMING AND PROCESSING LTD

Ni bei mpya ya zao la Vanilla kuliangana na aina;Mapodo dalaja la Kwanza na la Pili - TShs. 9,000/= Mapodo dalaja la Tatu - TShs. 8,500/=Malipo yote yanafanyika papo hapo. Wakulima tunzeni kadi na risiti ili kunufaika na huduma za ziada baada ya mauzo.Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767988173/0784771391
Kueneza zao la Vanilla ili kuongeza uzalishaji ni kazi ya kujitoa. Ni ngumu kama kuhubiri Injili ya Uongofu. Maruku Vanilla hatukati tamaa. Tutaendelea kuihubiri hii Injili mpaka ukamilifu wa dahali.
Kwa taarifa zaidi juu ya ratiba ya manunuzi na vituo wasiliana nasi kwa namba zifuatazo: 0717972957/0786972958/0754506050/0783552075/0784771391
Next Post Previous Post
Bukobawadau