Bukobawadau

MAUTI MENGINE KWA BRAZIL YACHAPWA 3-0 NA UHOLANZI,HESABU NI MABAO 10 KWA MECHI 2

Sehemu ya mashabiki wamewekeana nadhiri ya Kuoana mbele ya Umma
Pichani ni sehemu ya watazamani uwanjani wakifanya ukodak wakati Mchezaji Neymar akichukua nafasi ya kukaa kwenye benchi.
 Mapema mwanzoni mwa mchezo mnapo dakika ya pili Brazil wanapata pigopigo baada ya mwamuzi Award kutoa penati kwa Uholanzi baada ya Thiago Silva kumwangusha  chini Mshambuliaji Arjen Robben 
Nahodha Robin van Persie anaipatia Uholanzi bao la kwanza kwa njia ya penati
 Daley Blind anaipatia Uholanzi bao la pili
 Blind akishangilia bao lake dhidi ya Brazil
Mabishani makubwa kati ya Mchezaji Julio Cesar wa Brazil na wenzake baada ya Uholanzi Kupata bao la pili lililofungwa na Daley Blind
David Luiz na harakati zake uwanjani
Bila ya Wasiwasi anaonekana kipa wa Cillesen wa Uholanzi katika hali ya amani na usiku mzuri hii leo
Fernandinho anamchezea vibayan Robin van Persie
 Harakati za mchezaji David Luiz wa Brazil 
 Bila mafanukio Mchezaji David Luiz anajaribu kuufukuzia mpira.
 Dirk Kuyt anapata matibabu baada ya kupata Jeraha sehemu ya kichwani
 Chini ni Mchezaji wa Uholanzi  Daley Blind akipata maumivu baada ya kujeruhiwa Goti na mchezaji Oscar 

Kocha Louis van Gaal akitoa maelekezo kwa MchezajiRon Vlaar 
Mnamo dakika ya 91 muda ya nyongeza Mchezaji Wijnaldum  anaipatia uholanzi bao la kirahisi .Uholanzi 3-0 Brazil(90+1 )
Ndivyo wenyeji Brazil walivyo endelea kupata haibu katika michuano hii ya Kombe la Dunia 2014,Kikosi Cha Brazil chenye majeshi legelege chini ya kocha Scolari wanakamilisha Idadi ya mabao 10 katika mechi mbili ikiwa ni pamoja na ile ya 7-1 dhidi ya Ujerumani.
Next Post Previous Post
Bukobawadau