Bukobawadau

USIKU WA BW.CHINAS J. MTENZI NA BI ANNA MUSHY

Sherehe ya kuwapongeza Maharusi wetu Bw. Chinas J. Mtenzi na Bi Anna Mushy ilivyofana Usiku wa Jumamosi July 12,2014 Ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club
 Mwanzo wa shughuli anaonekana Bwana Harusi wetu, Bwana  Chinas J. Mtenzi  pichani (kulia)akisema na wenzake juu ya mtu mtu anaye mtatiza ndani ya nafsi yake
 Katikati ya simulizi simu yake inahita. .
Bwana Chinas anaendelea kuongea na Simu, sawa na Ujumbe unaosikika kutoka katika Muziki hewani
Katika kutahamaki Mlangoni macho yake yanagongana na Kimwana  wa Ukweli.
Ndivyo anavyo ingia ukumbini Bi Anna Mushy, ambaye ndiye Bibi harusi wetu wa kufa na kuzikana.
 Hii ni kwa mkutasari tu,Muendelezo wa picha na maelezo Kamili juu ya yaliyojili katika usiku wa Wawili hawa utaendelea   mapema ya jumapili hii.........

Ni bonge la  Bonge la Party lilipigwa mida ya jioni kuanzia majira ya saa mbili hivi likihusisha vyakula, vinjwaji na burudani mwanzo mwisho
Mara wanakutana na kupeana hug na mabusu motomoto..
 Macho ya Waalikwa ukumbini yakielekea Mlangoni kuona kila kinacho endelea
Mr. Bube na Mama Salome Chui na London wakifuatilia kinachojili
 Bwana Chinas Mtenzi na Bi Anna Mushy
Kushoto ni Mdau Mwinyi
Sehemu ya Kaka Ndugu wa Bwana Harusi Bwana Chinas Mtenzi wa huko Iringa.
 Sala ya Ufunguzi Rasmi wa Sherehe hii.
Mrs Edgar Kasheshe akiongoza Sala ya ufunguzi

Dua kutoka kwa mshereheshaji


Steven Protaz  katika mpango mzima wa Video Production
 Upande wa Ma Mc's  mapacha Jerry na Hima wakiwa wamejipanga vyema kuakikisha mambo yanasonga.
 Sehemu ya Wageni Upande wa Bwana Chinas

 Tupo na Bwana harusi mtalajiwa jina kapuni
 Wadau mbele ya Camera yetu katika kumsupport Kijana mwenzao Chinas Mtenzi
Zawadi kutoka upande wa Bwana harusi

Endelea kuwa nasi ......kwa tukio zima..
Next Post Previous Post
Bukobawadau