Bukobawadau

HIVI NDIVYO ILIVYOFANA 'FAMILY DAY' YA WADAU WA TBL BUKOBA

 Wadau wa TBL Kagera kwa siku ya jana wamesheherekea siku ya familia iliyojumuisha wafanyakazi na wadau wa Tbl ,Shughuli hiyo imefanyika katika Hotel Katika Hotel ya Bukoba COOP zamani Yaasila
 Afisa Ubora wa Bia kutoka TBL Mwanza Jeremia Kamambi ndiye aliyekuwa mgeni Rasmi
Afisa  Ubora wa TBL Jeremiah Kamambi, akitoa utambulisho na  elimu kidogo kwa wadau kuhusu utengenezaji wa bia
Mwenyeji wa Shughuli hii  Mdau Rackson Kahabuka ambaye ni Afisa mauzo wa TBL Mjini hapa.(District Manager),alisema lengo la siku hiyo ni kuwakutanisha pamoja wafanyakazi wa kampuni na familia zao ili kufahamiana na kubadilishana mawazo.
Mwanadada Jack Sehemu ya Waalikwa.
 Katika hili na lile wakati utambulisho ukiendelea
Mmoja ya wanafamilia wa TBL
Katika kutekeleza Ilani ya kujuana.
 Zoezi la utambulisho likiendelea.
 Mwakilishi wa TBL Karagwe
 Mdau Justin Rweyemamu TBL Ngara.
Mdau Hezidoli TBL Bukoba
WAFANYAKAZI wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mkoa wa Kagera wamefanya sherehe za familia zenye lengo la kuwakutanisha watumishi pamoja na familia zao ili kufahamiana na kubadilishana mawazo.
Bi Joyce Ngallawa katika zoezi la kujitambulisha,Yeye kaka Mrs Rweyemamu.
 Sehemu ya Uongozi wa TBL wakatangulia kupata huduma safi ya Chakula
Sherehe hizo maarufu kwa jina la Family day zilifanyika jana katika viwanja vya Hotel ya Bukoba Coop Ifisi iliyopo fukwenu mwa   ziwa Victoria jirani kabisa na bandari ya Mji wa Bukoba ambapo Wafanyakazi na familia zao walijumuika kwa pamoja katika michezo mbali mbali.
Akizungumza katika sherehe hizo,Meneja wa Kampuni ya Tbl, Wilaya ya Bukoba Mjini(District Manager),Rackson Kahabuka,alisema lengo la siku hiyo ni kuwakutanisha pamoja wafanyakazi wa kampuni na familia zao ili kufahamiana na kubadilishana mawazo.
Kahabuka alisema kampuni huandaa sherehe kama hizo kila mwaka lengo likiwa ni kuzikutanisha familia na wafanyakazi pamoja na michezo mbali mbali kwa ajili ya kuimarisha afya za wafanyakazi na familia zao.

Nao baadhi ya watumishi wa kampuni hiyo walisema kitendo cha uongozi kuweka sherehe kama hizo ni kizuri kwa kuwa huzifanya familia za wafanyakazi kufahamiana kwa ukaribu pamoja na kuondoa tofauti zinazokuwa zimejengeka miongoni mwao.


Mwakilishi wa TBL Wilayani Karagwe akipata  msosi na mwanae.
 Walisema suala la ufanisi wa kazi wa mtumishi huanzia kwenye ngazi ya familia ambapo akielewana vizuri na familia yake humfanya kuwa huru awapo kazini tofauti na mtumishi ambaye amekosana na familia yake hupelekea kufanya maamuzi mabaya awapo kazini.
Pichani ni wadau katika utayari wa kushuhudia burudani na michezo mbalimbali. 
Mchezo wa kukimbiza kuku umefanyika katika fukwe za Bukoba Coop Hotel.
 Zoezi la kukimbiza kuku upande wa wanawake
Mrs Rweyemaka akaonyesha umahili wake katika zoezi la kukimbiza Kuku.
Rackson Kahabuka akitoa angalizo kwa upand wa wanaume
Shughuli ikiendelea kwa upande wa wanaume.
 Jogoo katika utayari wa kukimbiza, atakaye mpata ni halali yake.
 Mshindi wa Kukimbiza Kuku ni Ndugu Henry wa Tbl Bukoba Mjini
Rackson Kahabuka mwakilishi wa TBL mjini hapa akitoa huduma kwa Waalikwa.
 Nyama Choma ni sehemu ya huduma ya kufikia.
 Mdau Justin na familia yake.
 Mrs Rweyemamu akifanya Kutweet 
Katika pozi mbele ya Camera yetu
 Mdau Justin Rweyemamu, mwakilishi wa Tbl Wilayani Ngara na maeneo ya Geita, Chato Buselesele.
 Mdau Rackson Kahabuka akisema na Wadau Waalikwa meza moja baada ya nyingine.
Mr HeriWiso.
 Mwanafamilia wa Tbl akifurahia mazingira 
Mandhari safi yenye kupendeza,miti imechanua nyasi zimekua na kurefuka, harufu nzuri , upepe mwanana wa ziwa Victoria kupitia Bukobawadau Blog hizo ni sifa stahili za Bukoba Coop Hotel,inapofanyika Sherehe ya Wadau wa  Kampuni ya Bia Tanzania.
 Mwanzo wa shughuli wadau wakipata supu.
 Wazee wa Konyagi akipata Supu kama kawaida
 Wadau wakibadilishana mawazo.
Wadau wakiendelea kubadilishana mawazo
Haya ndiyo yaliyojili kwa siku ya jana jumamosi July 5, 2014
Meneja wa Bukoba Coop Hotel akipata huduma ya Supu
 For more updatrs:jiunge nasi katika ukurasa wetu wa facebook.'Bukobawadau Entertainment Media'
Katika tabasamu pana anaonekana Mr Brandes ambaye ni Meneja wa Bukoba Coop Hotel
 Mandhari yenye kupendeza VIA  Bukobawadau BLOG
 Taswira Viwanja vya Bukoba Coop Hotel
 Mdau Justini na Mdau Rehema.

 Wadau wakiendelea kupata msosi
Mtensa Junior alisimama vyema kwa upande wa Sound.
 Dreva wa Tbl Bukoba
Sehemu ya Waalikwa pichani
 Matukio na Mwanalibeneke wenu  kupitia Mtandao wako bora wa Bukobawadau Blog.
Bi Rehema pichani Mdau wa TBL akiwakilisha pande za Ngara
Bi Joyce Ngallawa akatumia fulsa hii kuwaomba TBL kutangaza na Radio Kwizera ambapo yeye na Presenter.
Rackson Kahabuka katika hali ya Usikivu.
Mwisho ni neno la shukrani kutoka kwa Mdau Rackson Kahabuka akiwa kasimama vyema.

Mwisho mdau anashow love na kitu cha Zanzi
Next Post Previous Post
Bukobawadau