Bukobawadau

HII NDIYO MECHI ILIYO ZUNGUMZIWA SANA TOKA KUANZA KWA KOMBE LA DUNIA

Unaambiwa toka kuanza kwa kombe la dunia hii ndiyo mechi iliyozungumziwa  na watu wengi zaidi Dunia
Ni meche iliyochezwa jana Kati ya Wenyeji Brazil dhidi ya Ujerumani aambapo Brazil walipokea kichapo cha mabao 7-1
Kwa uchungu ndivyo anavyo onekana shabiki wa Brazil baada ya kupoteza matumaini dhidi ya 'Selecao'
Mashabi wa Brazil wakiwa na matumaini wakiamini lolote laweza kutokea licha ya Wasiwasi uliotanda kabla ya mchezo huo 
Machozi yanamtoka, mikono ikiwa kichwani na kujiuliza juu ya haibu hii ni shabiki wa Brazil pichani
Vilio kwa mashabiki wa Brazil ,huko pwani ya Copacabana baada ya Ujerumani kupata mabao manne ndani ya dakika sita
 Ndivyo mambo yalivyouwa kwa mashabiki wa Ujerumani ndani ya kiota cha FIFA Fan huko Copacabana
Mshambuliaji Fred wa Brazil katika hali ya Unyonge baada ya timu yae kuondolewa hatua ya Nusu fainali.

Next Post Previous Post
Bukobawadau