BASI LA FRIENDS LANUSURIKA KUWAKA MOTO
Basi la abiria la Kampuni ya Friends likiwa limenusurika kuteketea kwa moto mchana wa leo July 9,2014

Basi hilo linalofanya safari za kila siku kati ya Mwanza Bukoba -Kampala UG ,lilikuwa likitokea mwanza kuelekea Mjini Kampala kabla ya kupata mkasa huu likiwa maeneo ya Kabobwa Wilayani Misenyi .baada ya kutokea hitilafu kwenye mfumo wa mafuta
Pichani ni sehemu ya abiria walionusurika katika tukio hili
Pichani ni Mdau Majid Kayondwa mmoja kati ya abiria walionusurika kifo baada ya basi la Kampuni ya Friends lililokua likitokea Mwanza kwenda Kampala kunusurika kuteketea kwa moto likiwa maeneo ya Kabobwa Wilaya ya Misenyi.