Bukobawadau

MASHAUZI CLASS WAPAGAWISHA NDANI YA LINAS CLUB USIKU WA IDD PILI

Mwimbaji ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bendi maarufu ya muziki wa Taarab nchini Tanzania Mashauzi Classic Modern Taarab Isha mashauzi akiwajibika Jukwaani .
 Mwimbaji na mtunzi mahiri wa nyimbo za taarab Isha Mashauz akiwapagawisha mashabiki  kwa kibao chake maarufu kama "Si Bure Una Mapungufu"
 Ndivyo mammbo yalivyokuwa ndani ya Kisima cha burudani, Linas Night Club Usiku wa kuamkia leo ambapo Bendi ya Mashauzi Classic, chini ya uongozi wake Isha Mashauzi waliweza kukonga nyoyo za mashabiki kiasi cha kushangilia na kucheza bila kukoma .
 Mmoja wa Waimbaji akiwajibika.
 Katika hali ya utulivu anaonekana mwanadada pichani
Mashabiki wa Mashauzi Classic 'Wachaaa Kabisa'!
 Naaam!
 Hakika ni usiku wa aina yake kama inavyo inekana katika picha.
 Umati wa mashabiki ukiendelea  kupata burudani.
linas
  Safu ya Waimbaji wa Bendi ya Mashauzi Classic Modern Taarab 
 Mwimbaji na Kiongozi Msaidizi Hashim Said akidatisha mashabiki ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club
Sehemu ya wadau ukumbini wakiendelea kufuatilia kinacho.
Wakati Mwimbaji Hashim Said akiendelea na kuitikiwa na Waimbaji wenzake

 Mzee Sirinyo pichani Kushoto.

 Mtiti si kidogo ukumbini
 Mc Jerry na mwenzake Mc Hima kamawaida nao ndani ya Shangwe za Idd Pili.
 Mzee Lugumamu  pichani .

 Sehemu ya mashabiki waliojitokeza ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club
Mama Self Mkude na Mwanae Shamila wakendelea kufurahi show ya Mashauzi Classic.
 Wapenzi wa Mashauzi Classic wakiserebuka.
 Wadau wakicheck na Camera yetu ukumbini
 Mkazuzu ndani ya Linas Club, Isha Mashauzi akifanya yake
 Waimbaji wa Mashauzi Classic wakiwajibika


 Mr&Mrs Muhammed Kikwemu

 Yaliyojili usiku wa Idd Pili ndani ya Kisima cha burudani linas Night Club

Next Post Previous Post
Bukobawadau