Bukobawadau

SHUKRANI BI JEANIFER MURUNGI KICHWABUTA KWA MWALIKO WA IDD EL FITRI

Ni majira ya Saa tatu na nusu asubuhi,mara baada ya swala ya Iddi El Fitr iliyofanyika katika msikiti wa  Jamia Mjini hapa kwa siku ya Jana, mwanalibeneko nikiwa nimepata mwaliko nyumbani kwa Mr&Mrs Badru Kichwabuta.
Ni majira ya Saa tatu na nusu asubuhi,mara baada ya swala ya Iddi El Fitr iliyofanyika katika msikiti wa  Jamia Mjini hapa kwa siku ya Jana, mwanalibeneko nikiwa nimepata mwaliko nyumbani kwa Mr&Mrs Badru Kichwabuta.
Bi Jeanifer Murungi,katika kuwakaribisha baadhi ya Wageni nyumbani kwake.
Baadhi ya Wageni wanaingia ndani na kukaa Sebuleni.
Utayari wa mambo Sehemu ya Dining .
 Baada ya kuwakaribisha wageni Sebuleni, Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta anaendelea kuandaa Chai Mezani
 Tayari kifungua kinywa kimeandaliwa mezani
 Anakaribishwa Mezani Mzee wetu Mzee Kaitaba.
 Mr Karibuni mezani Chai iko tayari, Be Jeaniffer Murungi akimkaribisha mmewe na wageni.
 Anakaribia mezani Mr Badru Kichwabuta na Swahiba wake Ndg Birungi
 Ndugu Birungi akendelea kupata huduma ya Chai 
Waalikwa wakipa Chai iliyo andaliwa nyumbani kwa Mr na Mrs Bardu Kichwabuta

Mezani pia yupo Ustaadh na Ndugu Majid Kichwabuta.
Waalikwa wakiwa wanaendelea kupata Chai
Kijana pembeni na Ustaadhi katika udhibiti  mezani.
Mmoja wa waalikwa akiendelea kupata chai.
Vijana nao kama wanavyo onekana pichani
 Mr Khakimu Hussein akiwa anaendelea kupata Chai
 Kushoto ni Kijana Mandhuli Majid akiwa anaendelea kupata chai
 Katika picha ni Kijana Manshur na Mrs Badru Kichwabuta.
 Mr Khakimu akiendelea kupata Chai,kulia kabisa ni Ndugu Jamal Issa.
Bi Kamama/Mr Deo Lutinwa (kushoto) katika picha na Mr &Mrs Badru Kichwabuta
Wanandugu hao wakipata picha na Shemeji yao Ndugu Majid Kichwabuta
 Anaingia Dada Paschazia Barongo
Kijana Mandhur katikati akiwa nje kuwapokea wageni walio ongozana na Dada Paschazia Barongo,pichani kushoto ni Ndugu Traford Luangisa
Wakiwa mezani tayari wakati mambo yanaandaliwa.
 Katika hili na lile katika bustani safi iliyo zunguka nyumba hii
 Wakati wageni wakiendelea ndani ,napata fulsa ya kuchukua picha ya kumbukumbu,kati ya Ndugu Badru, Mzee Kaitaba, Ndugu Birungi na Mwanae.
 Nyamkazi ni sehemu maarufu yeenye mandhari nzuri na upepo kutoka Ziwa victoria. 
 Wakivadilishana mawazo na kufurahia hali ya hewa
 Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta katika picha na Ndugu Khakim Kichwabuta
 Katika pozi moja matata anaonekana Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta
Daaah Blogger Mc Baraka nawaaminia sana watu wangu natumia fursa hii kutoa shukrani kwa mwaliko huu  mapema ya Iddi el fitri Mwenyezi Mungu awabaliki.








Next Post Previous Post
Bukobawadau