Bukobawadau

TASWIRA KIJIJINI MBALE KASHASHA BUKWALI VIA KITOBO -KANYIGO

Tukiwa Kijini Mbale kata ya Kanyigo Wilayani Missenye
Camera ya mwanalibeneke inaingia katika Banda la kuuza nyama kijiji ni hapa maarufu kama Bucha.
 Baada ya kununua inafungwa katika sehemu husika ni majani ya migombo maarufu kama 'Ebyahi'
 Pichani kushoto anaonekana Bibi akiwa amefika kununua Nyama.
 Sehemu ya majani maalumu kwa ajili ya kufungiwa Nyama baada ya kununua
#Maisha ya kifasihi huko viijini #Kikwetu kwetu #Abagamba kamo #Ija webonele
Mabumunda, 'Kabaragala'
 Chanja maalum kwa kuuzia samaki.

Bango la shule ya Msingi Mbale
Njia panda kuelekea kijiji cha Nkaka-Kiziba na Kashasha


Mdau akishow love mbele ya Camera yetu kijijini Mbale
Majengo ya Kituo cha Kashasha.
INAENDELEA.....KWA PICHA ZAIDI NA MAELEZO....
Next Post Previous Post
Bukobawadau