BALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA IRELAND
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini
Kitabu cha Maombolezo ya Waziri Mkuu wa zamani wa Ireland Mhe. Albert
Reynolds. Kitabu hicho kimefunguliwa leo katika Ubalozi wa Ireland
Ubelgiji
1 comment:
Anonymous
said...
Namfagilia MH. Balozi Kamala. Alikuwa makini sana katika mambo ya Jumuia ya Afrika mashariki.
1 comment:
Namfagilia MH. Balozi Kamala. Alikuwa makini sana katika mambo ya Jumuia ya Afrika mashariki.
Post a Comment