HAPPY BIRTHDAY MWANALIBENEKE MC BARAKA

Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale,hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo mpaka mie kufika hapa nilipo.
Natoa shukrani kubwa kwa wadau,ndugu na marafiki pamoja na wanalibeneke wanao endelea kuniunga mkono.
HAPPY BIRTHDAY TO ME!