Bukobawadau

HARAKATI ZA FIESTA BUKOBA NI SHEEEEEDAH!!

Tamasha la Serengeti fiesta 2014 ambalo litafanyika kwa mara ya kwanza Mjini hapa siku ya kesho ijumaa ndani ya Uwanja wa kaitaba ,Camera yetu imeweza kuwashuhudia mastaa kadhaa wakiwasili mjini hapa
Yupo Ommy Dimpoz,Christian Bella,Young Killer,Barnaba,Madee,Jux,Ney wa Mitego
 Dj Fetty,Stamina,Mr. Blue,Recho,Linah,Super Nyota, Khadija wa Maumivu pia yupo 'Omwana wo Muka' BK sunday sambamba 'nomumbeija kazi Saida Karoli na wengineo.
 Kushoto ni msanii kutoka kundi la Wakacha anaejulikana kama  Jux  katika picha na Stamina
 Yupo Msanii Mr Blue 'Kabaisa, Babyloom'
 Msanii Barnaba Elias 
Msanii Jux
 Kushoto ni Msanii Christian Bella
 Msanii Ney wa Mitego 
Ruge Mutahaba mmoja ya Wakurugenzi wa Clouds Media Groupa pichani kulia akiteta jambo na Meneja uendeshaji wa kampuni ya utalii ya Kiroyera,Ndugu  William Rutta 
Ndivyo linavyo onekana jukwaa lanFiesta 2014 kwa mara ya kwanza bukoba likiwa linaendelea kugfungwa hatua kwa hatua uwanjani Kaitaba
Kumbuka, shangwe hili lote utaweza kulifaidi kwa kiingilio cha shilingi 5000 tu itakayokupa nafasi wewe mkazi wa Bukoba kupenya ndani ya Kaitaba Stadium
Msanii BK Sunday pichani kushoto.
SERENGETI FIESTA 2014 SAMBAZA UPENDO.............NI SHEEEEEDAH!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau