Bukobawadau

MASHUJAA BAND YATIKISA NDANI YA LINAS

Bendi ya muziki wa dansi ya Mashujaa Musica 'Wazee wa Kibega' ikiendelea kutoa burudani ndani ukumbi wa Linas Night Club usiku huu.
 Wanenguaji wa bendi ya Mashujaa wana 'kibega' wakishambulia jukwaa, 
 Safu ya mbele ya wanenguaji wa kike wa Mashujaa Band  wakishambulia jukwaa.

Sehemu ya mashabiki wa muziki  wakicheza na kuwatunza wacheza shoo
Mwanadada Mayaula  akitoka kuwatunza washeza shoo mahiri wa Mashujaa Music Band
 Rehema Raadhani Devotha Devid na Mama wa Milindimo Bi Salome Chui na London
Mr Basibila pichani kushoto na Mr Deo Lugahibula katikati 
 Bwana Edison Mhagama na mkewe Beatrice  wakicheck na Camera yetu usiku huu ndani Linas night CLUB.
 Burudani ikiendelea kwa wana wa Bukoba kutoka kwa wana wa Kibega .
Nancy& Ray Sehemu ya mashabiki wa muziki.
 Kulia ni Mdau Innocent Pajero Mkurugenzi Perfect General Supplies.
Wadau wakiendelea kufuatilia show kali kutoka Mashujaa Band.
 Mwanaama Dyna Fashion pishani kushoto akifuatilia kinacho
Sehemu ya wakazi wa Mji wa Bukoba ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club wakiendelea kufurahia Show ya Mashujaa Band 
Mwanadada Adra pichani na Kijana Samla D .


Mzee Mjuni Joseph katika picha na mwanalibeneke G Sengo wa Clouds Fm.
Katikati ni Mkurugenzi wa Linas Night Club Ndugu Mtensa Leonard.
 Mmoja wa wanamuziki wa Mashujaa Band, Gado. TX 
 Baadhi ya safu ya wanenguaji mahiri wa kiume wa Mashujaa Music Band wakiwajibika,
 Mashujaa Musica imeonyesha kujipanga vyema katika safu ya uimbaji, wacheza shoo
Ndiyo yaliyojili mapema katika ukumbi wa Linas Club  MASHUJAA BAND chini ya udhaini wa BAVARIA

Next Post Previous Post
Bukobawadau