Karibu Nyumbani Studio, hii ni studio mpya na ya kisasa kabisa ambayo imefunguliwa Mjini Bukoba wako jirani na Ofisi za Finca mkabala na lango la Soko la Ndizi watakutendea haki na kazi yako .
Muhimu kujuwa kupiga picha za mnato na zile zinazotembea ni taaluma mbili zinazorandana ila Nyumbani Studio ndiyo Chaguo sahihi kwa picha za Mnato kwendana na tekinolojia
Nyumbani Studio wana Uwezo uzoefu na Elimu ya kupiga picha.
#NyumbaniStudio chaguo sahihi kwa muonekano wa kistaa
# Nyumbani Studio wanao Wataalam wenye uwezo na kipaji cha kupiga picha na kuedit
Mbele ya macho yako ni Sehemu ya Kazi za awali zilizofanywa na Nyumbani Studio.
Nyumbani Studio inakufanya unukie kiujana zaidi hata kama age yako imeenda
0 comment:
Post a Comment