Bukobawadau

TAZAMA PICHA NA SIKILIZA AUDIO:UFUNGUZI WA CHUO CHA UALIMU ERA-BUKOBA AUG 10,2014

 MAatukio  katika Sala ya ufunguzi wa CHUO CHA UALIMU ERA  iliofanika Jumapili Aug 10,2014 maeneo ya chuo cha ERA kilichopo katika kata ya Kitendagulo-Kijiji cha Kagemu Manispaa ya Bukoba
Mh.Balozi Khamis Sued Kagasheki Mbunge Jimbo la Bukoba Mjini ambaye ndiye mgeni rasmi katika Sala ya Ufunguzi wa Chuo cha Ualimu ERA akitoa nasaha zake.
Kutoka Kushoto ni Mhasisi na Mkurugenzi wa Chuo  Bi Paschazia Barongo Mbunge Jimbo la Bukoba Mjini Balozi Khamis Kagasheki anayefuata ni Mkuu wa Chuo cha Ualimu ERA.
Kutoka Kushoto ni Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT ,Askofu Samson Mushemba,Sheikh Idrisa aliye mwakirisha Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta, Mkurigenzi wa ERA Bi Paschazia Barongo anafuatia Mgeni Rasmi Mbunge  Balozi Kagasheki na wa mwisho kulia ni Principle wa chuo hicho
Fanya kubofya kitufe cha Play hapa chini uanze  kusikiliza 'Audio' kuhusu  neno/nasaha kutoka kwa Baba Askofu Kilaini,Baba Askofu Samson  Mushemba na Balozi Khamis Kagasheki.
 Sauti ya kwanza katika Audio hii ni Baba Askofu Kilaini,Sehemu ya pili ni Baba Askofu  Samson Mushemba nikifuatia Mgeni Rasmi Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Balozi Khamis Kagasheki.
Mkurugenzi wa Chuo cha Ualimu ERA Bi Paschazia Barongo akisoma Risala ya Chuo mbele ya Mgeni Rasmi Mh.Balozi Khamis Kagasheki Mbunge Bukoba Mjini.
Pata kusikiliza yaliyomo katika Risala hiyo kwa kubofya kitufe cha Play hapa chini

Sauti ya pili katika Audio hii ni Mwakirishi wa Sheikh Haruna Kichwabuta.

Sehemu ya Uongozi wa Chuo Kikuu cha SAUT kilichopo Mjini hapa
 Mshereheshaji wa shughuli hii Mwalimu Mgango akiwajibika.
 Mh. Jeanifer Murungi Kichwabuta
 Mama Barongo , Mama Mzazi wa Mkurugenzi wa Chuo cha ERA Bi Paschazia Barongo
 Kushoto ni Mh.Diwani wa kata ya Kitendagulo,Mzee Samwel Ruangisa,
Muendelezo wa matukio yaliyojili katika hafla fupi ya Ufunguzi wa Chuo cha Ualimu ERA
 Chuo cha ERA kipo katika kata ya Kitendagulo-Kijiji cha Kagemu Manispaa ya Bukoba
Anaonekana Ndugu Sued Juma Kagasheki pichani.
 Sehemu ya waalikwa katika hafla hii iliotanguliwa na Sala ya Ufunguzi
 Yote yaliojili katika ufunguzi wa Chuo cha Ualimu ERA yalisikika hewani kupitia 88.5 Kasibante Fm Radio, pichani ni Mtangazi Nicolaus Ngaiza
Muonekano wa Sehemu ya Jengo la Chuo cha Ualimu ERA.
Sehemu ya Jengo la Chuo cha Ualimu ERA
Anaonekana Bi Teddy Mboto na Mama Totos pichani
Mrs Barungi pichani Kushoto na Ndugu Trafird.
Wanachuo wakiongoza kuimba Wimbo wa Maendeleo wa Mkoa wa Kagera
 Sehemu ya Waalikwa anaonekana Ndugu Majid Kichwabuta
 Katika hali ya Usikivu na umakini ndivyo wanavyo onekana sehemu ya Wanachuo
 Kutoka Jamco Video Production,wakichukua matukio.
 Tayari wanafunzi 130 wamesha jiunga na Chuo hiki.
 Unaweza kuwasiliana na Chuo hiki kwa Email;erattc@gmail.com
 Mzee Samwel Ruangisa akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia
Kutoa zawadi kwa Mhasisi Mkurugenzi wa ERA pichani  Mh. Jeanifer Murungi Kichwabuta akiongozana na Mama Barongo Bi Paschazia Barongo
Mama Mzazi wa Mkurugenzi wa TEACHERS TRAINING COLLENGE akikabidhi zawadi hiyo
Sehemu ya Waalikwa pichani
Mawasiliano  Chuo cha Ualimu ERA P.o Box 1447,Simu namba 0713 788948 /0656 573 920 Bukoba TZ.


Next Post Previous Post
Bukobawadau