Bukobawadau

YALIYOJILI 'BIRTHDAY PARTY' YA HUSNA WAZIRI

Usiku wa kuamkia jana kulikuwa na shughuli ya sherehe ya kuzaliwa kwa Mwanadada Husna Waziri pichani kulia,iliyofanyika kiwanja kile kile Transit Hotel The Walkgard.
 Katika shughuli hiyo iliyokuwa na maandalizi ya mazuri wadau kibao waliohudhuria walijiachia kwa raha zao kutokana na kutokana na wingi wa mazagazaga kama misosi na vinywaji.
 Vijana wa mjini wakicheck na Camera yetu
 Miss Tete naye ndani.
 Hima Mgoonja akiendelea na makamzi
 Katika pati hiyo, watu walijiachia kwa misosi kiwango, vinywaji vya aina zote.
 Kushoto ni IbraCadabra na kulia ni Ndugu Evance
 Tukio la sherehe ya kuzaliwa kwa mwanadada Husna Waziri likiendelea kuchukua kasi ndani ya Kiwanja maarufu Transit Hotel The Walkgard kilichopo barabara ya Uganda Mjini hapa
 Kitu  kitu colour bana
 Wadau wakishow love mbele ya Camera yetu, kushoto ni ndugu Christopher Kibasa
 Naaam Ndugu..!
Mdogo mtu akikabidhi zawadi yake ya Keki kwamtoto anayezaliwa Bibie Husna Waziri pichani katikati.
 Ras Nold na Mdau Benny Bennisho pichani
 Huduma ya msosi kwa waalikwa ikiendelea
Mc Jerry akiweka mazingira mazuri kwa waalikwa kupata msosi
 Katika sherehe hiyo, mambo ambayo yatakuwa gumzo na kukaa kwenye kumbukumbu kwa muda mrefu ni wadau na  staili zifuatazo 
 Shughuli ilikuwa noma sana kwani watu walijiachia balaa
 Wadada wa mji hapa waliwedha kuhudhuria kwa sana.

 Kila mmoja kwenye kona  Mabrother men wakijiachia

Hii nayo ni moja kati ya swagar,HAKIKAILIKUWA BABKUBWA!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau