Bukobawadau

MASHUJAA BAND KUPAGAWISHA BUKOBA AUG 14,2014 NDANI YA LINAS NIGHT CLUB

Wanaitwa Shemeji Invest wakishirikiana na Ibracadabra wanakuletea ile Band bora,Mashujaa Music Band,watoto wa mama Sakina,siku ya tarehe 14/08/2014,
 Hii itakuwa  mle mle ndani ya ukumbi wa Lina's night Club.
Next Post Previous Post
Bukobawadau