Bukobawadau

EDDY KENZO & DAVID LUKALO WAACHA GUMZO!

 Wapenzi wa burudani Mjini Bukoba, siku ya jana walipata usiku wa aina yake kufuatia show kali kutoka kwa wasanii  kutoka nchini Uganda David Lutalo na Eddy Kenzo.
 Wanamuziki waimbaji wa David Lukalo 
 Mwanadada akiimba sehemu ya mistari  ya wimbo maarufu kama 'Amaaso Abiri'
Mashabiki wakifuatilia  kinachojili.
 Mshike mshike wa mashabiki  jukwaani 
Wasanii wakiendelea kushusha kitu live.
 Balaa wakati msanii Eddy Kenzo alipo panda na kuimba  nyimbo maarufu kamaI "Ogenda Kunzia" na 'Mama Sukari'
 Msanii Eddy Kenzo toka Uganda akiwapagawisha mashabiki waliojitokeza ndani ya Linas Night Club
 Wacheza show wa Kiume wa Msanii Eddy Kenzo wakionyesha Uwezo wao katika miondoko ya Ngololo.
 Kitu live .
 Wimbo ni Wa Gyetugenda  ,ndivyo anavyo jitokeza mmoja wa mashabiki wa Msanii David Lutalo
 Safu ya Waimbaji katika hili na lile.
 Mashabiki wetu wanapo kosa watulivu!
 Kama utabahatika kusikiliza nyimbo wa "Ayi Mukama''hakika utakubalini nami kuwa Mwanamuzi David Lukalo ni zaidi ya Sana  katika tasnia ya uimbaji.
 Mmoja wa wasanii Msanii Underground kutoka Uganda katika miondoko ya Hip hop live
Eddy Kenzo toka akifanya mambo yake kwa kushusha ngoma za nyuma kama Bogela na Stamina
 Eddie Kenzo  Mzee wa Kokode ambaye kwa Sasa chati yake inaonekana kuwa juu nje ya Mipaka ya Nchi yake, pichani akiendelea kuwarusha Mashabiki kwa uwezo mkubwa wa mistari yenye tungo kali zenye Ujumbe stahili  na Sauti yenye mvuto katika Sound /Mdundo wa aina yoyote.
 Hapa ndipo umaarufu wa  msanii Eddy Kenzo ulipo fikia nje ya mipaka ya nchi yake
 Mashabiki wakifuatilia burudani ndani ya Linas
 Mbele ya Camera wadau wakiendelea kutambua uwepo wetu
 Wakishow love mbele ya Camera yetu
Mr Christopher na MdauInnocent Don King pichani Kushoto.
 Kwakweli jana ilikuwa Siku....
 Mdau Anaf Hamad akisikilizia
Shangwe kwa mashabiki ni mwanzo mwisho.
 Kinachoendelea hapa kinatupa shidaa kukielewa!
 Kautaratibu ka ukodak.
 Mwanadada Aisha na Bibie Vanny wa Vannessa.
 Sehemu ya Video ya Onyesho hili  ipo tayari You tube na  sehemu ya pili chini ya habari hii
 Haya na mengine ni sehemu ya yaliyojili ndani ya kisima cha burudani Linas Night Club.


 Kila mwenye simu yenye uwezo ' Balambona bata'
 Mdau pichani kushoto akisikilizia sambamba na Ndg Benny Benisho na Mkewe.
 Mashabiki wakipata ukodak
Watu full hekaheka.
 Kama walivyokutwa na Camera yetu pembezoni mwa Ukumbi .
 Mdau Majid pichani kulia.
Taswira ukumbini burudani ikiendea.
Sehemu ya mashabiki wakiwa wima kufuatilia show hii.
 Mwanadada Mayaula  Kimjini mjini HAAA!
 Mashabiki wakiendelea kupata kile kinachostahili
 Mnenguaji wa Kike akifanya yake jukwaani
 Mr Kagya na Dj Max 
 Pale Camera inapo pewa umuhili zaidi ya burudani
Macho ya Camera yetu yakiangaza huku na kule
PICHA ZA MATUKIO ZAIDI INGIA HAPA>>Bukobawadau Entertainment Media
 Mwisho kabisa tunakuongezea picha kumi  ikiwa ni kipengere kipya cha Mengineyo...
Hii ikiwa ni picha yetu ya pili katika Mengineyo
 Ndugu Issack Kagasheki.
 Mwimbaji wa Kike ,chini ya David Lukalo
 Mr Christopher
 Mwanadada katika mengine.
 Eddy Kenzo akiimba kwa hisia kali.
 Mr. Kijigo na Mr. Matete sehemu ya wadau wanaotupa Support  kwa namna moja ama nyingine.
 Shabiki akifuatilia burudani kwa umakini
Mwisho wa picha 10 kipengere chetu cha mengineyo
WASANII KUTOKA NCHINI UGANDA EDDY KENZO NA DAVID LUTALO WAFANYA BALAA KUBWA NDANI YA LINAS NIGHT CLUB ILIKUA BONGE MOJA YA SHOW USIKU WA JANA JUMAPILI SEP 7,2014
CHECK SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI
KWA MATUKIO MENGINE YA PICHA JIUNGE NA UKURASA WETU WA FACEBOOK KUPITIA HAPA>Bukobawadau Entertainment Media
Next Post Previous Post
Bukobawadau