Bukobawadau

KAULI TATA KUTOKA KWA VIONGOZI WETU

 Je kauli ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka Leo kutoka kwa viongozi wetu:
1: kuleni nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe. (Mramba) 2. Foleni dar ni ishara ya maendeleo (jk) 3. Acheni wivu wa kike (msekwa) 4. Asiyeweza kulipa nauli ya kivuko apige mbizi (magufuli) 5. Baada ya kutumia helicopter ya jeshi kwenda nayo urambo mlitaka nitumie punda" (kapuya) 6. Wabunge wa dar mnafikiria kwa kutumia makalio (masaburi) 7. Ukitaka kula lazima uliwe (jk) 8. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua (wasira) 9. Kila mwananchi atabeba msalaba wake (mukullo) 10. Wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao (jk) 11.asiyeweza gharama za umeme awashe kibatari ( muhongo) 12. Uchumi mnao lakini mnaukalia (nyerere)
13. Chadema tupo makini kuliko serikali ya ccm na usalama wa taifa (Dr.slaa) 14. Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa (juma nkamia) 15. Tumefika hapa kwa upuuzi wa ccm namaanisha tumefika hapa kwa udhaifu wa rais (john mnyika) 16. Polisi Mimi ni kama rais wao hawana cheo cha kunikamata (mch. Mtikila) 17. Watanzania tuhakikishe tunamwaga damu za kutosha tuingie ikulu (Dr slaa) 18. Ukiona tz kuna maisha magumu nenda unakoona kuna vya dezo (jk) 19. Wanaoishi mbagala wote pumbavu (mkapa) 20. Msinywe mchuzi wa sangara unawaletea nyege mtapata ukimwi bure (lowasa) 21. Wanaoandamana kuweka mgomo piga tuu..(pinda) 22. Mtaenda kazini mkiwa na ngeu mkigoma (jk) 23. Supplementary ni somo kama masomo mengine. (Mulugo) 24. Tanzania ni muungano wa visiwa vya Zanzibar na Zimbabwe. (Mulugo) 25. Anayeona mshahara haumtoshi aache kazi (jk) 26. Nampongeza maalim seif kwa kupata kura nyingi ila nampongeza karume kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Zanzibar (mwinyi).....
Mdau usisahau LIKE page yetu kupitia hapa hapa>>Bukobawadau Entertainment Media
Next Post Previous Post
Bukobawadau