Bukobawadau

CHECK OUT YALIYOJIRI HARUSI YA RUGA BARUTI & IRENE KAYUGA

Matukio yaliyojili katika harusi ya Mr Ruga Baruti na Bi Irene Kayunga iliyofanyika siku ya Jumamosi Sep 13,2014  Jijini Dar es Salaam.
 Katika kumthamini mmewe Bi Irene anaonyesha vitendo vya kimapenzi na kumnongonza maneno haya;'Akajuga omu ngoma kamanywa omubambi',ni maneno ya kinyumbani yenye Ujumbe mkubwa ndani yake.
Kwa hisia kali Mr Ruga anambusu mke wake ,anaoshesha kuridhika na kumwambia kinyumbani et 'Akake kazira omulisho'
Muonekano wa kanisa la kilutheri usharika wa mbezi beach jijini Dar es salaam
Ndani ya Kanisa la kilutheri usharika wa mbezi beach .
Ndani ya Kanisa la kilutheri usharika wa mbezi beach jijini Dar es salaam

Wakivishana pete zao za ndoa katika Kanisa la kilutheri usharika wa mbezi beach jijini Dar es salaam
 Bi Irene Kayunga akisaini cheti cha ndoa
 Mr.Ruga akisaini cheti cha ndoa .
Mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa la kilutheri usharika wa mbezi beach jijini Dar es salaam
Katika dimbwi la mahaba  na mazingira ya tabasamu ndani ya mioyo ya wawili hawa kuwa pamoja..!
 Hongera sana Mr.Ruga kwa kumdhibitishia Mkeo Irene kuwa yeye ndiye Malkia wa ufalme wako
 Muonekano sahihi wa Bi harusi ,hakika Irene kapendeza kwa make-up na mtindo ya nywele zake.
 Daaahh ,kweli Irene unamvuto, tunachoweza kusema ni kwamba hongera yako Mama!!
 Moja kati ya Style kali ya ubanaji wa nywele tuliyopata kukutana nayo
 Bi harusi alivyotulia na wapambe wake,hakika kachomoka vyema na hilo gauni lake,So amazing!!
Ndani ya Ukumbi wa Ledger Plaza (Bahari Beach)
Mambo ndo kwanza, yanaanza...!
 Maharusi mmependeza sanaaa kwakweli ,hii ni moja kati ya harusi kali tunashuhudia,yote juu ya yote tumevutiwa na  mavazi  yenu classic.
Katika suala zima la uvaaji na utengezaji wa nywele ,taswira ukumbini,yaani muonekano kiujumla Mr & Mrs Ruga Baruti mmefunika mbayaaa!
 Wakilishana Keki
 Kivutio kingine wakati maharusi wakitoa burudani
  Kwa umahiri wa kucheza na Kwa style za mpangilio wa vidole...'Mmetishaa Ebyehatari'!
Bwana harusi anapokea zawadi kwendana na taratibu za Kimira.

 

Next Post Previous Post
Bukobawadau