Bukobawadau

EPISODE III:ALLY & MGENI WEDDING RECEPTION

ALLY & MGENI WEDDING RECEPTION::Venue:: Spice Beach  ,Colour:: Yellow n White
Photo:: Bukobawadau Entertainment Media :: Credit::Walter Rwey-Robert

Decoration::Advents Deco and Planning
Hapa ni mwanzo wa Matukio yaliyojiri Usiku wa Bw .Ally Kichwabuta na Bi Mgeni Issa
 Baada ya Shughuli ya Jijini Dar na ile Sherehe ya Maulid ya  kuwaponga maharusi hawa ,funga kazi ni Sehemu ya tatu ,hafla iliyofanyika Sehemu ya wazi , pembezoni mwa fukwe za ziwa victoria, Usiku wa Jumapili oct 12,2014.
Kushoto ni Mrs Kuraish Kichwabuta katika picha na Maharusi hawa.
Episode III: Ally & Mgeni
Mwisho wa tukio hili,kupitia picha utakutana na 'Video Full Version 'hii yote ni kukufanya wewe Mdau msomaji kupata kile  kinachostahili
 Kazi ya kupamba pongezi kubwa zimuendee Mama Matungwa.
Hakika mmependeza na Mmefunika ile mbaya....!
 Pichani kushoto ni Mrs Azizi Kichwabuta katika picha ya kumbukumbu na Maharusi wetu.
Katika hili na lile pichani ni Marafiki wa Bwana Ally Kichwabuta.
Maharusi katika sura zilizojaa tabasamu kuashiria kile wanachomaanisha kuwa wamependana hasa.!
Pongezi za ufanisi kwa Mama huyu Jemedali Mrs Badru ,Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta(kushoto)
Taswira eneo la tukio , hakika tuyaache macho yafanye kazi yake
Kimalkia zaidi mambo ya harusi Ufukweni,majini mita chache kuelekea kisiwacha Musila.
 Wazazi wa Bibi Harusi wanaingia Ukumbini namna hii
Wageni Waalikwa wakiendelea kuingia Ukumbini
 Wazazi Upande wa Bwana Harusi, anaonekana Bibi na Mama Johari pichani
Mzee Issa Abdurlahiman  Baba Mzazi wa Bi harusi wetu.
 Ndugu jamaa wa Familia Wakiingia Ukumbini kwa furaha ya aina yake.
Mambo ndo kwanza yanaanza...!
 Kwa umakini anafuatilia kinachoendelea Mama Achi
Wakati mambo yakiendelea hii ni picha kwa ajili ya kumbukumbu
 Bi Sofia Hamad, Mrs Nurag katika pozi.
 Hii ni kimalkia zaidi mambo ya harusi fukweni.
Mpango mzima Mwanamama pichani akiwa kajipanga vyema kamati ya Vinywaji
 Ndugu wa familia wakisikilizia mambo ukumbini.
 Dada Mello na Dada Sima pichani sehemu ya Waalikwa
 Mr &Mrs Nyerere na Mama Mlima.
 Bi faiza Salum katika picha na Mama yake Mzazi 'Mama Mody.
 Kaka  Buruani Kichwabuta pichani kulia akifanya 'kutweet'
Mambo ya Waalikwa yakisubiri kwa hamu kuwaona Mahasi.


Kaka wa Bwana harusi Mr. Kuraish na Mkewe katika kuwafungulia njia Maharusi.
 Mzee wa Texas na Mkewe wakitangulia 
 Maharusi wanaingia Ukumbini.
Waoooooo!Wanaingia ukumbini kwa kucheza  maharusi wetuMr & Mrs Aziz Kichwabuta
Kufatia ufanisi wa Shughuli hii,Bukobawadau tunatoa pongezi kubwa kwa Maharusi hawa kama wanavyo onekana wakiwa katika nyuso za furaha.
Hoi hoi shangwe na vigeregere katika Meza ya Wazazi wa Bi Harusi.
 Mwenyekiti wa hafla hii akitoa neno kuashiria shughuli inafunguliwa Rasmi.
Katika Utambulisho wa pande zote mbili anasimama Mzee Habib Kichwabuta pichani
Mama Mzazi wa Bwana harusi, Hajath Mama Johari anawapungia watu Mikono kwa furaha kubwa.
Siri ya kicheko hiki,Usisite kupitia Sehemu ya Video yenye matukio kamili,Ipo Mwisho wa page hii.


 Mama Khabib Kichwabuta  mara baada ya utambulisho.
 Bibi mzaa Mama Mzazi wa Bwana Harusi.
 Meza ya Wazazi wa Bwana Harusi, anaonekana Mama Miraji wakati wa utambulisho.
 Baba Mzazi wa Bi Mgeni akiwapungia watu mikono.
Pembezoni tunakutana na Meza Mzee Mussa 
 Zoezi la utambulisho linaendelea...Upande wa Kaka wa Bwana harusi
 Salaam kutoka kwa Mdogo wa Bi Mgeni Issa Abdulrahiman
 Ndugu wafamilia ya kichwabuta wakati wa utambulisho
Wageni kutoka Tanga  jumla ya Watu  40 kwa usafiri wa Anga,'return ticket Dar-BK-Dar' Mmm!!
 Omumbeija Jamila Bashir.
 Mzee Msigula Mdau Mkubwa katika tasnia ya Mahusiani mjini kwetu.
 Mama Mzaa Chema pichani wakati wa utambulisho.
Meza ya Mama Stella wakati utambulisho kwa wanafamilia ukiendelea.
 Maharusi wanakata Keki
Hapa kinachotafutwa ni  Kipande kidogo cha keki
Tukio Maharusi wakilishana keki
 Zawadi ya Keki meza ya Wazazi wa Bwana Harusi.
 Zawadi ya Keki kwa Dada Wote Ndugu wa Bwana Harusi
 Shangwe kubwa Ukumbini baada ya kukabidhiwa Zawadi yao ya Keki
 Matukio ya Zawadi ya keki kwa Mawifi,Wazazi,Kaka, Shangazi na Marafiki yakichukua kasi.
Utayari kuelekea kutoa huduma ya Chakula.


Kwa mara ya kwanza ndani ya'Haya Land' tunashuhudia kitu kipya toka kwa Maharusi hawa
 Wageni wakielekea kupata huduma ya Chakula
Ukweli ni kwambaTunavutiwa na idea hii ya Maharusi kutoa Huduma ya Chakula.
 Ndugu Azizi akimkaribisha Mzee Nyerere kupata Msosi.
 Mama Farida akipata huduma ya Msosi
 Neno la Shukrani kutoka upande wa Bi Mgeni
Maharusi wanafungua Rasmi Muziki.
 Maharusi katika Burudani
 Burudani ya Muziki.
Si kawaida kwa Ndugu Mkhusini kutupia kitu  Suti.
 Mama Mzaa Chema na wanae katika Ukodak maalum kwa ajili ya kumbukumbu
Marafiki wakubwa wa Bwana Harusi koka kipindi  cha masomo yake
 Credit Mc Baraka kwa uwezo mkubwa  katika Coverage ya Matukio

 Kuelekea kupata picha ya pamoja na Maharusi.
 Mawifi wa Bibi Harusi wetu katika picha ya kumbukumbu
Katika picha ya pamoja Sehemu ya Dada ndugu wa Bwana harusi
Mwendelezo wa picha za Kumbukumbu.
 Shukrani kutoka kwa Mwenyekiti Kamati ya Maandalizi ya hafla hi
Chezea Mtoto wa Kitanga kwa pozi za kimahaba!!
 PICHA 300 ZINAPATIKATA KUPITIA HAPA>Bukobawadau Entertainment Media
 SEHEMU YA VIDEO MAHARUSU WETU WAKITOA HUDUMA YA CHAKULA PITIA SEHEMU YA PILI  YA MATUKIO KAMILI YA VIDEO HAPA CHINI   Hii nayo ni moja kati ya picha,Check Video hapa chini Mwanzo mwisho,Zawadi,burudani naManeno ya Wazazi
EPISODE III:ALLY & MGENI WEDDING RECEPTION OCT 12,2014.
Next Post Previous Post
Bukobawadau