Bukobawadau

NI BONGE LA HARUSI YA MR & MRS ALLY KICHWABUTA, MJINI BUKOBA 0CT 11,2014

Kufatia ufanisi wa Shughuli hii,Bukobawadau tunatoa pongezi kubwa kwa Maharusi hawa kama wanavyo onekana wakiwa katika nyuso za furaha ni Bwana na Bibi Ally Kichwabuta  ikiwa ni siku maalumu  ya kuwapongeza kwa uamuzi wao wakufunga ndoa.
 Jumamosi Oct 11, 2014 Ikiwa ni siku maalumu ya harusi ya wawili hawa,siku ambayo imenogeshwa na mambo mengi yasiyo ya kawaida yalijitokeza ikiwemo hili la maharusi kupendeza!!
Mwanzo wa hesabu  ni Moja, just love this!! Ally & his wife just adorable
Wakati tukiendelea kupata picha za Maharusi kwanza niwape  namba yangu mpya ambayo ni 0715 505043 hii utampata Blogger  Mc  Baraka ,tunapokea ushauri na maongezi kuhusu kazi sio flani..?
Bonge la picha jamani! mmependeza Sana
Kwa utulivu wa huyu Kijana,mwanetu hatomletea mauzauza ,ni kama wanajisemea wazazi wa Bi Harusi pichani.
Hallow hallooo! Yaani Mwanula Ebyehetari 
Tusinge penda kuwachosha na maelezo kwa siku ya leo tutafanya 50 /50  illa unachotakiwa kujia Mdau msomaji “Hii ni bonge la harusi,mpaka tufika matukio ya jumapili inaweza kuvunja rekodi
 Hakika mmependeza  na make up za Bibie Mgeni zimetulia
'Mwaaaaaaa...maisha mema ya ndoa..I believe mtakuwa na doa njema' ni maneno ya Mama Sadath Murungi Badru Kichwabuta pichani
 Naye Dada Mtu achezi  mbali ni Bi Sharifa Kichwabuta
Matukio katika picha za kumbukumbu.
Ndugu hawa La' Familia katika hilina lile wakati mchakato wa picha za kumbukumbu ukiendelea.
Maharusi na Wapambe wao wakishow love na Ndugu wa familia.
Bwana Kuraish katika picha ya kumbukumbumbu na Dada yake mpendwa.
 Habari ndo hiyo! mtoto wa Kitanga tena?!.... pozi za kumahaba ndiko zilikozaliwa.....!
 Matukio ya picha za kumbukumbu yakendelea.
 Pichani ni Wadogo zake na Bi harusi wetu Bi Mgeni Issa .
 Ndugu na jamaa  kutoka Tanga muda mchache kabla ya kuelekea fukweni kwa ajili ya picha za kumbukumbu
Mwanzo wamatukio ya Ufukweni ulikuwa hivi.
Maharusi wana sura zilizojaa tabasam kuashiria wamependana hasa.
 Hakika matukio ni mengi na picha ni kali mno....
Tupo Sambamba  na  Dada Johari Kichwabuta pichani kushoto
 Faizal Chichi Salum  kama kiongozi wa msafara akisaidiana na Ndg Optaty Henry Katibu.
 Mr& Mrs Issa ambao ndio wazazi wa Bi harusi Bibie Mgeni Ally
 Maharusi wetu na Wapambe wao wakiwa fukweni kwa ajili ya picha za kumbukumbu
Endless love.....  Macho na matendo yanapo ongea...!
 Ndugu na Jamaamarafiki wa familia ya Bwana Ally Kichwabuta kutoka Nchini Uganda .
Msafara mkubwa wa Magari ukiendelea .
Sehemu ya Msafara , tunaweza kusema tuweka picha mwanzo mwisho tatizo ni kwamba tutachukua siku nne au tatono kukufikishia tukio lote
Bi Ziada Songoro pichani ndani ya Ukumbi wa harusi
 Katikati ni Ndugu Badru Kichwabuta, kaka Mkubwa wa Bwana harusi wetu akifuatilia namna maharusi walivyopendeza wakati wanaingia ukumbini 
 Naaam...Bwana Ally akionyesha  ishara ya kuwapungia watu mikono
Mambo ya Red Capet kwa kiasi kikubwa yamehusika...
Katulebi eKI ....! watu viti havikaliki
Maharusi Ukumbini kwa burudani ya Qasweeda, kama utakavyoweza kujionea katika Video yetu.
 Katika Pozi Bi harusi wetu Mgeni Issa wa Abdulrahman
 Mwanamama na Matukio kwa ajili ya kumbukumbu
Mzee Kabyemela na Mzee Galiatano sambamba kabisa na tukio hili
 Macho yote kuleee....Wanakotokea Maharusi wetu.


 Taswira mbalimbali Ukumbini wakati Sherehe za Maulid ya kuwapongeza Mr &Mrs Ally zikiendelea.
 Ndivyo anavyo ingia ukumbini Mzee Haji Adam Sued Kagasheki
Haji Adam anapokelewa na Sheikh Haruna Kichwabuta, ambaye ndiye sheikh wa Mkoa wa Kagera.
 Moja ya Wanafunzi wadogo wa Madarasa wakifanya vizuri sana
 Pale mambo yanaponoga ndivyo anavyo onekana Sheikh Habib Kichwabuta.
 Mzee Galiatano kwa furaha ya aina yake akimpongeza Mama Johari kichwabuta .
 Mama Sadath,Mrungi Badru akifurahi na Mzee Galiatano anaye onekana kuimarika kiafya hii leo.


 Sheikh Haruna akifurahia Qasweeda
 Bwana Harusi na mpambe wake ambaye ni Ndugu wa  kufuatana.
 Katika pozi na mikao  safi kwa ajili ya picha kali za Bukobawadau Blog.
 Ndugu Siraji Kichwabuta akiongea machache kama mwenyekiti wa familia ya Kichwabuta.
 Mzee wa Dallas, Texas akimtunza  Kaka yake Siraji pale alipotumia fursa hii kuwashukuru Waalikwa kwa kutokuichoka familia ,kufuatia  mwitikio wao katika harusi nne mfululizo ikiwa ni pamoja  na ile ya miezi sita iliyopita ya Ndg.Aziz Kichwabuta maarufu kama Mzee wa Dallas, Texas
 Harusi iliyotangulia ilimhusisha Ndugu Kuraish  Kichwabuta pichani Kushoto
 Sehemu ya Waalikwa Ukumbini Mdau Sulum na Mzee wa Matunda.
 Mwenyekiti wa familia hii Ndugu Siraji Kichwabuta akiendelea kutoa Intro kwa Wageni waalikwa.
Mwenyekiti kwamba baada ya harusi ya Kuraish ilifuatia harusi ya Bwana Mkulam Kichwabuta pichani kulia ambapo Bukobawadau blog walihusika kwa kiasi kikubwa kukufikia yote yaliyojiri.
 Kwa Umakini na Uwezo mkubwa katika kuongea Ndugu Siraji Kichwabuta ambaye ndiye  Mwenyekiti wa familia ya Kichwabuta anamwinua tena Mzee Wetu Haji Abbakari Rajab Galiatano.
Ndivyo mambo yalivyokuwa Mchana wa Jumamosi Oct 11,2014.
 Sheikh Habibu Kichwabutu akitoa Zawadi ya Maneno kwa Bwana  Ally Kichwabuta kuhusiana na kusimamia  Ndoa yake kama ilivyoamrishwa na Allah.
Anaendelea kwa kumkabidhi  Zawadi ya Quran  kabla ya kufuatiwa na zawadi za kimira. 
 Bwana Harusi na Best Man wanapongezwa na Kaka yao Mkuwa ndugu Badru Kichwabuta
 Mara baada ya neno la Mzazi Sheikh Habib anapongezana na  Badru.
 Mc Muongozaji pale penye  shughuli nzito ni Mzee 'Kapara'S alum Mawingo aka Organizer.
 Kwa mbali Wazee wakisikilizia.
 Nasaha za Sheikh Haruna Kichwabuta kwa Bwana Ally,tukio hili  litapatikana  You tube.
 Sheikh anamalizia nasaha zake zenye kugusa pande mbili kwa kuwapongeza Maharusi wote wawili
 Baba Mzazi akimpongeza Binti yake.
Sheikh Idrisa anatoa pongezi.
 Kaka Mkubwa 'Baba Sado' Badru Kichwabuta akitoa pongezi  na kumkaribisha Rasmi  Bi harusi
 Kaka Mkubwa wa Bi harusi akitoa pongezi kwa Mdogo wake.
 Haji Abbakar Sued akiwapongeza maharusi hawa.
 La Familia kulia ni Mama wa Aisha, Bi Sauda.


 Kwa furaha Mama Johari wakati wa Utambulisho


 KatikaUkodak Maharusi na Uncle Salum Kama rafiki mkubwa wa familia,nje ya kuwa Mc.


 Mrs Khakimu Kichwabuta
 Hongera sana Bi harusi umependeza.
Sheikh Idrisa pichani kushoto, Mzee Pius Ngeze katikati na Mzee Galiatano.
Upande wa pili,Ndgu Nassor Master fix akiendelea kuwajibika
 Sehemu ya Waalikwa wakiingia Ukumbini.
 Ndugu Optaty Henry ambaye ndiye Mwenyekiti , kamati ya Usafiri kuanzia Dar-Bukoba
 Sehemu ya Waalikwa Wakipata huduma ya Chakula
 Kwa furaha anaonekana Ndg Mkhusini Haruna Kichwabuta.
 Bi harusi kapendeza ,Vazi na michoro ya Hina kweli Tanga inahusu na upande wa make-up 'BILIGE MNO'
Wanawaka,Wanatabasamu 'Mbamehisa' Bi Harusi na Matron wake kulia Mrs Aziz Kichwabuta ,
Kumwenya na kumyehisa..
 Bi Sharifa Kabaka katikati, kulia ni Mama Miraji Kichwabuta.
 Bi Sharifa Karwani na Mama Adam (mama farida)pichani
  Bi harusi kapakwa Hina namna inavyotakiwa.

Haji Murishi akiteta jambo na Haji Sadick , pembeni anaonekana Mzee Nurag Haji Nuru.
 Ndugu Bashiru Badae Kabyemela na Ndugu Sadru Ally
 Matukio zaidi ya Picha tembelea kurasa zetu za Facebook
Ilikuwa tabu kidogo ...!katika utaratibu wakati wanainuka familia nzima ya Kichwabuta.
Ndugu wa familia katika picha ya pamoja
 Mwisho Shughuli hii inafika Mwisho na kuwakabidhi Wanawake waendelea na taratibu za Zawadi
Mikoba yote ankabidhiwa Mwananana Jemedali Mrs Badru , Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta
 Anasalimia Mama Miraji
 Hawa waliosimama ni Mama zetu chimbuko la familia ya Kichwabuka.
 Maharusi wakifurahia jambo kwa sura zilizojaa tabasamu
 Mrs Ally Kichwabuta na Mrs Aziz Kichwabuta
 Katika picha ya pamoja na Mama Mzazi, Mama Johari kabla ya kutoa neno lake la Shukrani
Mama Mzazi wa Bwana Ally, anatoa neno la Shukrani kubwa sana kwa wote walioshiriki.
 Hongera zao maharusi hawa,mpaka siku ya Jumapili ndo mwisho wa tukio la Ally Kichwabuta.
Bukobawadau tunawashukuru familia hii kwa kutambua Uwepo wetu na kutushirikisha kama hivi. Tunawashukru sana
 Team nzima ya BUKOBAWADAU BLOG  inapenda kuwapongeza maharusi hawa na kwatakia kila la kheri katika maisha yao ya ndoa.
 Shukrani sana Ndugu Aziz Kichwabuta , Sambamba na Mama yetu Mama Stella.
 Mzee Philbart Nyerere kamati ya mapokezi . tunatambuwa uwepo wako
 Pongezi na kwa  kamati ya maandalizi na Wasimamizi wa shughuli  make watu wamekula ,wamekunywa na kufurahia Dufu, Qaswida na mengineyo watu wamecheza  sijui sasa Jumapili ya Oct 11,2014 katika Party mambo yatakuwaje..?  kwani tetesi zilivyo Mmmh...'!!
PITIA SEHEMU YA KWANZA YA  VIDEO HAPA CHINI.
Pitia  Video hapa Chini, Pichani anaonekana Sheikh Habibu Kichwabutu akitoa Zawadi ya Maneno kwa Bwana  Ally Kichwabuta kuhusiana na kusimamia  Ndoa yake kama ilivyoamrishwa na Allah, pia anamkabidhi Zawadi ya Quran  kabla ya kufuatia na zawadi za kimira. Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi na Maelezo Kamili, Tayari picha zaidi ya 200 Zipo katika Ukurasa wetu wa facebook,Muhimu  kulike na kushare page husika ,Gonga hapa  >> Bukobawadau Entertainment Media
Next Post Previous Post
Bukobawadau