VIDEO SEHEMU 1:ZAWADI ZA KIMIRA HARUSI YA BW. ALLY KICHWABUTA NA BI MGENI ISSA
Pitia Video hapa Chini,Ni tukio la zawadi ya apewayo bwana harusi kutoka kwa wazazi waka Pichani anaonekana Sheikh Habibu Kichwabutu akitoa Zawadi ya Maneno kwa Bwana Ally Kichwabuta kuhusiana na kusimamia Ndoa yake kama ilivyoamrishwa na Allah, pia anamkabidhi Zawadi ya Quran kabla ya kufuatiwa na zawadi za kimira.
Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi na Maelezo Kamili, Tayari picha zaidi ya 200 Zipo katika Ukurasa wetu wa facebook,Muhimu kulike na kushare page husika ,Gonga hapa >> Bukobawadau Entertainment Media